ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Wakuu natafuta whatsup inayotumia line 2,
nawasikisha
nawasikisha
Wadau nikikuwa natumia gbwhatsapp waiburn, je kuna app nyingine inayofanya kazi ambayo inacount coment kwenye groups? Nilitumia wahtsapp plus waliiburn pia, nilitunmia yowhatsapp waliburn nayo. Msaada kwa anayejua hiyo plse
Tutaipataje?
Onhax ina ads kibao na haidownload
si una adblocker?
Onhax ina ads kibao na haidownload
Wadau nikikuwa natumia gbwhatsapp waiburn, je kuna app nyingine inayofanya kazi ambayo inacount coment kwenye groups? Nilitumia wahtsapp plus waliiburn pia, nilitunmia yowhatsapp waliburn nayo. Msaada kwa anayejua hiyo plse
vp nikitaka hizi tiki mbili,zisibadilike rangi ata nikisoma msg,kwa whatsApp ya kawaida inawezekana
Yani mm mwenyewe niliingia kichwa kichwa hii web ilinifanya hadi ni unistall browser yangu sababu ya Ads