kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,029
Thanks mkuu umetisha
GBWA v4.15-2.12.453 @atnfas_hoak.apkKwa Yeyote Mwenye APK ya WhatsApp Plus Inayofanya Kazi. Material Design Naomba Anitumie ..
Maan Nilikuwa Natumia Moja Juzi Naona Wameshaiblock nimeamia Kwenye Official ambayo siipendi Sanaaaa.
Ni PM kama Unayo
Kila nikitaka ku install unakuja ujumbe kuwa nidownload new versionGBWA v4.15-2.12.453 @atnfas_hoak.apk
New version ya GB WHATSAPP. ..naona sasa pia waweza tuma hata documents via whatsapp
Unaweza , ww unatumia version ipi?Nimedownload Gbwhatsap ila tatizo huwezi kutuma video zaidi ya moja kwa wakati mmoja
Version gan mkuuNimedownload Gbwhatsap ila tatizo huwezi kutuma video zaidi ya moja kwa wakati mmoja
Kaka ni GBWA v4.15-2.12.453Version gan mkuu
Weka 16Kaka ni GBWA v4.15-2.12.453
Poa mkuu,ngoja nijaribuWeka 16
Pole mkuu hiyo version mbona mimi ndo naitumiaKaka nimeweka GBWA v4.16-2.12.453,ila bado tatizo ni lile lile,video ukimark zaidi ya 1 haiendi ina apload 1 tuu uliyoimark ya mwisho,naombeni kama kuna mtu mwenye version inayokubali hivyo anitupie link,au anielekeze niipakue
Hata kama ni video za 00:45 bado ni tatzo mkuu,au labda kuna settings ndani ya hii version haziko sawa!Pole mkuu hiyo version mbona mimi ndo naitumia
Video length zikoje hizo?
Angalia kweny media sharing pale then uploading size limit iko ngap?Hata kama ni video za 00:45 bado ni tatzo mkuu,au labda kuna settings ndani ya hii version haziko sawa!
Nina 2.12.453 gbwhatsapp iko vizuri tuUnaweza , ww unatumia version ipi?