Kijana kuwa makini tunakujadili kwenye panel..Ban ya miaka 3 inakunyemelea kwa kosa la uchocheziZinatumwa na bavicha, vijana wasiokuwa na kazi wa chadema!!
hazifai baby ake ..... ...
hahaaa inaweza kuwa tuko group moja lols
hahaaa inaweza kuwa tuko group moja lols
Ule mfuatano wa picha uliotumwa kwenye group lako ndiyo huo huo uliotokea kwenye group letu hili, duh! Mbona kama ndiyo hilo? La wahitimu flani!!!
Ule mfuatano wa picha uliotumwa kwenye group lako ndiyo huo huo uliotokea kwenye group letu hili, duh! Mbona kama ndiyo hilo? La wahitimu flani!!!
hahaaa hilo hilo la wahitimu flani hivi.... kama nishakujua vile lols
Kwani wewe uko grupu lipi?
hahaaa Skype yaani nikisema hilo group halafu kama tuko wote nahisi nitakuwa verified user kwako..
Kwenye Whatsapp hakuna kureport abuse?
hahaaaaa mi nafurahimaana natumiwa mipicha ya mapapuchi hatariiiiiii..... sijui nani ananitumia lakini nakula uzee kwa kuangalia mipapuchi ya kila design ...idumu whatsapp
Wee acha tu. Mimi ndio wananiudhi mpaka mwisho. Wakituma tena ntawablock. Sasa juzi nilikuwa kanisani alafu jamaa wakatuma picha ya ngono kwenye group ya watsapp. Ile nachungulia ka simu kangu nione mpendwa gani kabarikiwa kunitafuta mda ule nikakuta hilo lipicha. Yani hadi upako wooote ukaisha. Wabongo tunahitaji tuition kuhusu kushea news.
Siku hizi tatu jamani watu wanatutumia picha za kutisha mpaka tunaogopa kulala jamani maana mara kapigwa shoka mara kachomwa kwa bibi yani angalieni na aina za picha na matukio????