๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,389
Reaction score
2,844
Hivi utajisikiaje ukawa na uwezo wa kutumia WhatsApp bila kila mtu unayewasiliana naye kujua namba yako ya simu! ๐Ÿ‘€

WhatsApp inafanyia majaribio mfumo mpya wa Phone Number Privacy unaolenga kuongeza ulinzi wa faragha kwa watumiaji.

๐Ÿ’‘ Ukiweka Everyone โ€“ Kila mtu anaweza kuona namba yako.

๐Ÿ“ž Ukiweka My Contacts โ€“ Ni watu uliohifadhi kwenye contacts pekee.



๐Ÿ’€ Wakati ukichagua Nobody โ€“ Hakuna watumiaji mwingine yeyote ataweza kuona namba yako kwenye Whatsapp.


Kupitia mfumo huu, watumiaji wataweza kudhibiti nani anayeweza kuona namba zao za simu, huku Whatsapp ukiendelea kuboresha Mfumo wa watu Kuanza kutumia Username badala ya kushare namba za simu.

Ingia setting kwenye Whatsapp yako >> Privacy Kisha username / Phone number privacy utaweza kuweka no body.
 
US tumekuwa nayo hii feature kwa zaidi ya nusu mwaka sasa.

Nimeipenda sana kwa ajili ya privacy.
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Sasa gentleman nitahakikishaje kama kweli wapo kwenye majaribio.
kuna muungwana hapo juu kaeleza vizuri kwamba hiyo feature iko kitambo tu kwenye WhatsApp but rasmi haijaanza kutumika,
but ukifanikiwa kuingia kama mtoa hoja alivyoelekeza hapo juu, wanakwambia kabisa uandikie username yako ambayo wakifanikiwa kuanza matumizi wewe unakua automatic tayari upo kwenye mfumo au unatumia kitochi gentleman?
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Natumia smart kitochi gentleman, inawezekana ndiyo sababu.
 
Telegram hiyo ipo miaka yote.
Mimi naona Telegram ni bora na Ina vitu vingi ambavyo vikiletwa na na Whatsapp inaonekana kama kitu fulani jipya, kumbe kipo muda tu Telegram,
Ni maoni na mtazamo wangu tu
Usifananishe Telegram na WhatsApp, Telegram lile ni jini unaweza ukaingia mule ukapotea humo humo usijue unapoelekea na ina vitu vingi mno unatuma video ya kuonekana na kupotea hapohapo wakati WhatsApp kaweka view once ya kitoto..

WhatsApp ipo straight sana halafu haina mambo mengi hivyo na haiwezi kuifikia Telegram hata kidogo hili nina ushahidi yaan baado sana Telegram inaongezeka vitu kila baada ya muda WhatsApp haifanyi hivyo inachukua muda sana kubadirika yaan ni mtandao unaobadirika taratibu.. Telegram ni tamu sana kuitumia ingawa ndio mtandao unaokula bundle kinoma

Kilichoniudhi zaidi WhatsApp ni kuzuia kuchukua Screenshot yaan huyu msenge hapa ndio kaiharibu app yake kabisa ukitaka kuchukua Screenshot inaleta giza na sijui nani alimuambia afanye hivyo ni ujinga kabisa ukitaka kupiga Screenshot popote kwenye WhatsApp status inaleta giza DP inaleta giza mpaka uwanja wa meseji ndio haileti giza wakati Baba yako Telegram una Screenshot bila shida yoyote
 
GB Whatsapp kipindi kile hayo ma-features yalikuwepo
 
Sasa linda bwana ako kakutumia connection kwa view once na wewe unataka kuchukua screenshot uipeleke wapi ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ