elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
kwa wale wapenzi wa kuchat, kuna application inaitwa wechat ina features nyingi zaidi ya whatsapp ebu ichekini ni nzuri sana.
Kuna mdau aliwahi leta thread kuhusu hiyo app lakini kipindi kile walikuwa wametoa version ya kichina tu sa hivi inapatikana kwenye vwrsion ya english pia
The new way to connect
Usisahahu kuniadd kwa leo012 ndio id yangu
deeeeam MAN are you serious?? a charting app iwe na 14.4MB??? halafu iwe haisupport kuhamisha to SD itakua masihara hayokwa wale wapenzi wa kuchat, kuna application inaitwa wechat ina features nyingi zaidi ya whatsapp ebu ichekini ni nzuri sana.
Kuna mdau aliwahi leta thread kuhusu hiyo app lakini kipindi kile walikuwa wametoa version ya kichina tu sa hivi inapatikana kwenye vwrsion ya english pia
The new way to connect
Usisahahu kuniadd kwa leo012 ndio id yangu
deeeeam MAN are you serious?? a charting app iwe na 14.4MB??? halafu iwe haisupport kuhamisha to SD itakua masihara hayo
wana2mia mda gani kusend verification code
Ina mb 3.kadhaa man we hiyo yako sijui unaongelea ipi
naona kwenye iPhone ina 32.3MB,,wewe unatumia simu gani?? nime click kwenye hiyo link nikarnda download ndo kaja hiyo ya 14.4MB
du h duh .....
Kwasheshe
Naona sisi wa vi S40 hatumo kabisa kwenye list
kwa wale wapenzi wa kuchat, kuna application inaitwa wechat ina features nyingi zaidi ya whatsapp ebu ichekini ni nzuri sana.
Kuna mdau aliwahi leta thread kuhusu hiyo app lakini kipindi kile walikuwa wametoa version ya kichina tu sa hivi inapatikana kwenye vwrsion ya english pia
The new way to connect
Usisahahu kuniadd kwa leo012 ndio id yangu
kwa wale wapenzi wa kuchat, kuna application inaitwa wechat ina features nyingi zaidi ya whatsapp ebu ichekini ni nzuri sana.
Kuna mdau aliwahi leta thread kuhusu hiyo app lakini kipindi kile walikuwa wametoa version ya kichina tu sa hivi inapatikana kwenye vwrsion ya english pia
The new way to connect
Usisahahu kuniadd kwa leo012 ndio id yangu
vipi inasurpot kwenye Nokia c3?