WhatsApp family group

WhatsApp family group

Familia yangu 90% ni watu wanatumia batani so hamna grp

Pia Mimi issue ya michango naona imekaa kihuni kwakuwa .

Mtu akihitaji Ada huwa hawamchangii na hata ukiumwa Ila kuoa na kuolewa MTU anachangia 2M
 
Halipo na hatun ata ilo wazo kabisa taarifa ni kupigiana simu tu anae pata taarifa ana mpa mwingine mpaka wote tuna jua
 
Mimi simo ila nimo kwenye group la watu tunaotoka sehemu moja, hakuna michango kabisa isipokuwa tu pale mmoja anapopata shida kama kufiwa au kukazwa kwa zaidi ya siku 3 anapata mchango wake fasta ambao upo stendibai kisha tubajipa muda wa wa kama wiki ili kurudisha kwenye kile tulichotoa.
 
Kukutana kwenyewe tunakutana misibani, huko grupuni tutaongea nini 😅
 
Huko sikomenti chochote.... kama kuna lolote nampigia mtu direct tunamalizana !

Mara sijui mtoto wa ant anamaliza iv michango, mara sijui nani anaolewa...mara sijui nini !
 
Back
Top Bottom