mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
tecno ya button za kawaida, ina java, lkn mbona whatsups haikubali, achana na torch, hii ya kawa
Ahsante sana Mkuu Phlagiey, nimefanikiwa!! Maelezo yako ni very systematic and clear!! Ila nimeshindwa kubadilisha rangi ya OGWhatsapp.
tecno ya button za kawaida, ina java, lkn mbona whatsups haikubali, achana na torch, hii ya kawa
Tecno ya aina hiyo haiwezi kukubali.
Hii ni kwaajili ya simu za nokia original n.k, lakini sio kwa hizo tecno zenye java ya kuzugia.
Angalia hapa{Asha 200, C2-03,C2-00,2700c,2690} n.k
mpe hata ya soda sasa!
:A S 109::A S 109::A S 109:Mkuu Rakims, naomba unisaidie kufikisha hiyo ya soda maana uko karibu naye kuliko mimi, lol
mpe hata ya soda sasa!
Niulize Chochote Kinachokutatiza Kwenye Whatsapp Au Facebook Takuelekeza.. Free
jaribu hii mkuu..
http://www.samsungdownloads.net/download-id-134514-name-WhatsApp+Messenger+v2+1+9915.html