Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

Mkuu simu yangu ni Nokia x nimeweka hii app ya whatsapp lakini inakataa kuwa simu yangu haisapoti hii app,hapo nifanyeje ndugu?
 
muda Wa Hizo Simu Kuachiwa Whatsapp Bado Lakini Fanya Hivi.... kama Umeshaidownload Na Kuinstall Vyema Mpaka Namba Umejaza Na Ilipoconfime namba Ikakwambia Continue Baada Ya Kupofya Ikasema Your Device Cannot Support Hapo Ujue Tayari Una Whatsapp... Jinsi Ya Kuitumia Bofya Picha Yako Kwenye File, Nenda Share Halafu Select Whatsapp Itakuletea Uchague Unashare Na Nani, Ukishashea Utarudi Back Utaendelea Kutumia Kama Kawaida... Karibu

Rakims
 
Tatizo ni kwamba ukibonyeza tu ile icon ya whatsapp inakuandikia "sorry,your device is not supported" hata haifiki kwenye hizo hatua ulizozitaja hapo juu.
 
format Uanze Upya
 
Samsung GT-C3222 Nimefuata maelekezo yote ila nikifika kwenye lile file AryklM nkilifungua setup zinanmbia JAR FILE IS OVER MAX. SIZE nafanyaje hapo?
 
Niulize Chochote Kinachokutatiza Kwenye Whatsapp Au Facebook Takuelekeza.. Free

Samsung GT-C3222 Nimefuata maelekezo yote ila nikifika kwenye lile file AryklM nkilifungua setup zinanmbia JAR FILE IS OVER MAX. SIZE nafanyaje hapo Mkuu
 
Rakims.
Eti inawezekana/nawezaje,nika copy picha/hadithi kisha nika I paste Whatsapp.!?
 
Last edited by a moderator:

unacopy Kama Kawaida.. Ukifungua Chat Ya Mtu Unaetaka Kumtumia Unaenda Option Utakuta Editing Option Una Paste Tayari....

#rakims
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom