Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

karibu

Rakims

Mkuu nimeitembelea hiyo site ulotoa,imefunguka vzuri ila changamoto imekuja jinsi ya kuidownload,,kila nikitaka kuishusha inaload kama inaka kuanza kudownload then inarudi kwenye page ile ile. natumia opera kubrowse inaeza kuwa ndo tatizo?
 
em tumia browser mkuu..
 
Rakims na Phlagiey vipi kwa hii samsung sgh-d780 unaiwezesha vp whatsapp coz nimefuatilia maelekezo ila nimeambulia hola. naomba maelekezo specific kwa ajili ya hii simu please.
Samsung-SGH-D780-Review.jpg

Mkuu hongera kwanza kwa kumiliki simu ya zamani.

Hii simu yako mkuu haiwezi kuipokea app ya WhatsApp!

Angalia hapa mkuu kama utaona kama hiyo simu yako ipo.

List of Samsung phones supporting WhatsApp :

  • Samsung Galaxy Golden
  • Galaxy Express 2
  • Galaxy S4
  • Samsung Galaxy Note
  • Samsung Galaxy S3
  • Samsung Galaxy Note 2
  • Samsung Galaxy S4 Zoom
  • Samsung Galaxy Mega 6.3
  • Samsung Galaxy S3
  • Samsung Galaxy Note
  • Samsung Galaxy S2
  • Samsung Galaxy S2 Plus
  • Samsung Galaxy S4 Mini
  • Samsung Galaxy Mega 5.8
  • Samsung Galaxy Tab 7.0 Plus P6200 32GB
  • Samsung Galaxy S Plus
  • Samsung Galaxy S
  • Samsung Galaxy Nexus
  • Samsung Galaxy Grand Duos
  • Samsung Galaxy Tab 2 P3100 (WiFi / 3G /
  • Samsung Galaxy S Advance
  • Samsung Galaxy Win/ Grand Quattro
  • Samsung Galaxy Core
  • Samsung Galaxy Core Plus
  • Samsung Omnia Pro
  • Samsung Galaxy Ace Duos
  • Samsung Galaxy Chat
  • Samsung Omnia M
  • Samsung Galaxy Ace Plus
  • Samsung Marvel
  • Samsung Galaxy S Duos
  • Samsung Galaxy Fame
  • Samsung Galaxy Ace Duos
  • Samsung Galaxy Ace
  • Samsung Galaxy Pop
  • Samsung Galaxy Music
  • Samsung Galaxy Trend Duos
  • Samsung Galaxy Y CDMA
  • Samsung Galaxy Y Duos
  • Samsung Galaxy Music Duos
  • Samsung Galaxy Star Pro Duos
  • Samsung Galaxy Y Duos Lite
  • Samsung Galaxy Young
  • Samsung Galaxy Y S5360
  • Samsung Galaxy Y Plus
  • Samsung Galaxy Pocket
  • Samsung Galaxy Pocket Neo
  • Samsung Galaxy Star
  • Samsung Rex 90
  • Samsung REX 80
  • Samsung REX 70
  • Samsung Rex 60
  • Samsung i8910 Omnia HD (Symbian )
  • Samsung GT-i8510 (Symbian )
  • Samsung GT-I7110 (Symbian )
  • Samsung SGH-L870 (Symbian )
  • Samsung SGH-G810 (Symbian )
  • Samsung SGH-iNNN (Symbian )
 
simu yangu imepoteza image zote nilizotumiwa kutoka whatsapp nahisi kuna mtu alichezea simu yangu akazifuta bahati mbaya nafanyaje kuzirudisha ni samsung

Hahahaha jirani imekula kwako hiyo nitumie namba yako kikutumie videos ninazo nyingi mno.

Ila nakushauri kama simu yako unachangia na watu, tafuta google play store application inaitwa recycle bin, hii itakusaidia kuhifadhi vitu vyote utakavyofuta kwa bahati mbaya na kuvi-back up kama kawaida hautapoteza kitu hata kimoja.
 
dah Me Nashida Na Registration Code Za Huawei Y300 Halafu Jamaa Humu Wanaroho Mbaya Wananambia Elfu 30

Hahahaha, mkuu siku hizi kitu pekee unachoweza kupata bure ni salamu
 
Hahahaha jirani imekula kwako hiyo nitumie namba yako kikutumie videos ninazo nyingi mno.

Ila nakushauri kama simu yako unachangia na watu, tafuta google play store application inaitwa recycle bin, hii itakusaidia kuhifadhi vitu vyote utakavyofuta kwa bahati mbaya na kuvi-back up kama kawaida hautapoteza kitu hata kimoja.

jirani nishakupm my no tayari lol
sichangii na mtu hii simu bali mpwa wangu wa miaka saba huwa anaomba kucheza game nahisi ni yeye kafuta kwa bahati mbaya
 
mtumie na zile za mzee wa acheche acheche na mazombi...
 
jirani nishakupm my no tayari lol
sichangii na mtu hii simu bali mpwa wangu wa miaka saba huwa anaomba kucheza game nahisi ni yeye kafuta kwa bahati mbaya

Haya naona unajitahidi kuwa msanii.

Hata huyo mpwa wako ni mtu pia kwa namna moja unachangia nae, kwakua ulishamzoeza kumpatia simu basi najua hautakuwa mwisho kwa vile amefuta video zako, chakufanya ni kuaanda mazingira salama kwaajili ya simu yako kwa kutumia hiyo application niliokuambia hapo juu.
 
Mkuu hongera kwanza kwa kumiliki simu ya zamani.

Hii simu yako mkuu haiwezi kuipokea app ya WhatsApp!

Angalia hapa mkuu kama utaona kama hiyo simu yako ipo.

List of Samsung phones supporting WhatsApp :

  • Samsung Galaxy Golden
  • Galaxy Express 2
  • Galaxy S4
  • Samsung Galaxy Note
  • Samsung Galaxy S3
  • Samsung Galaxy Note 2
  • Samsung Galaxy S4 Zoom
  • Samsung Galaxy Mega 6.3
  • Samsung Galaxy S3
  • Samsung Galaxy Note
  • Samsung Galaxy S2
  • Samsung Galaxy S2 Plus
  • Samsung Galaxy S4 Mini
  • Samsung Galaxy Mega 5.8
  • Samsung Galaxy Tab 7.0 Plus P6200 32GB
  • Samsung Galaxy S Plus
  • Samsung Galaxy S
  • Samsung Galaxy Nexus
  • Samsung Galaxy Grand Duos
  • Samsung Galaxy Tab 2 P3100 (WiFi / 3G /
  • Samsung Galaxy S Advance
  • Samsung Galaxy Win/ Grand Quattro
  • Samsung Galaxy Core
  • Samsung Galaxy Core Plus
  • Samsung Omnia Pro
  • Samsung Galaxy Ace Duos
  • Samsung Galaxy Chat
  • Samsung Omnia M
  • Samsung Galaxy Ace Plus
  • Samsung Marvel
  • Samsung Galaxy S Duos
  • Samsung Galaxy Fame
  • Samsung Galaxy Ace Duos
  • Samsung Galaxy Ace
  • Samsung Galaxy Pop
  • Samsung Galaxy Music
  • Samsung Galaxy Trend Duos
  • Samsung Galaxy Y CDMA
  • Samsung Galaxy Y Duos
  • Samsung Galaxy Music Duos
  • Samsung Galaxy Star Pro Duos
  • Samsung Galaxy Y Duos Lite
  • Samsung Galaxy Young
  • Samsung Galaxy Y S5360
  • Samsung Galaxy Y Plus
  • Samsung Galaxy Pocket
  • Samsung Galaxy Pocket Neo
  • Samsung Galaxy Star
  • Samsung Rex 90
  • Samsung REX 80
  • Samsung REX 70
  • Samsung Rex 60
  • Samsung i8910 Omnia HD (Symbian )
  • Samsung GT-i8510 (Symbian )
  • Samsung GT-I7110 (Symbian )
  • Samsung SGH-L870 (Symbian )
  • Samsung SGH-G810 (Symbian )
  • Samsung SGH-iNNN (Symbian )

Duh kwahiyo ndo nisahau kuhusu whatsapp? ngoja nijipange nivute android smartphone. Shukrani sana kwa wote!
 
Duh kwahiyo ndo nisahau kuhusu whatsapp? ngoja nijipange nivute android smartphone. Shukrani sana kwa wote!

Teh!teh! mkuu usisahau bhana jichange tu ununue smartphone, maana hiyo simu yako imetoka muda kitambo sana 2008, jaribu kwenda kisasa kama unayahitaji haya mambo.
 
Haya naona unajitahidi kuwa msanii.

Hata huyo mpwa wako ni mtu pia kwa namna moja unachangia nae, kwakua ulishamzoeza kumpatia simu basi najua hautakuwa mwisho kwa vile amefuta video zako, chakufanya ni kuaanda mazingira salama kwaajili ya simu yako kwa kutumia hiyo application niliokuambia hapo juu.

hahahahaa kila mtz lazima awe msaniii lol thanks jirani hiyo application nitaidownload
 
Teh!teh! mkuu usisahau bhana jichange tu ununue smartphone, maana hiyo simu yako imetoka muda kitambo sana 2008, jaribu kwenda kisasa kama unayahitaji haya mambo.

Ntajitahidi kwakweli ila napata shida sana kutumia touch screen,maana inakubidi udonoe kwa umakini. ila kwa hizi simu za button hadi raha! lakini kwa sasa u-konsevativ inabidi niuweke kando niwe kidijitali aisee
 
Mi nimearchive number kwenye whatsApps,na mpaka sasa sizioni na nilikuwa nahitaji zirudi ila nimeshindwa, msaada pleaz.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom