Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

Auto location kwenye facebook ukiwa nokia s 40 java phone utafanyaje?
 
Nokia Asha 202 mkuu kama kuna njia yeyote inayowezakunifanya nami nitumie whatsapp.

asha 200,201 na kuendelea zote zinasupport.. Illa Installation Yake Hufanyika Kwenye Pc Kwanza
 
mm natmia nokia c2-2 je naweza pata applicatn inayo support sim yangu?

yah..! Inasupport Me Nnayo Whatsapp Ya Kila mobi.. Ipo Ya N-series s60,s40, java nokia, java htc,samsung,android.. Ipo na Ya Cm Za Kichina Baadhi...
 
mkuu unge2pa njia ya kufanya instalation ya whatsap kwa ku2mia pc mie natumia x2_01
 
asha 200,201 na kuendelea zote zinasupport.. Illa Installation Yake Hufanyika Kwenye Pc Kwanza

Nipe link na procedures mkuu niifanyie installation au kama una set up kabisa wawezaiweka ili nifanye mambo.
 
Back
Top Bottom