Whatsapp calling activation

Whatsapp calling activation

Kwel kabisa,genuine stuff.Now enjoying whatsapp calling
Asante
 
Thx its hardly working....
Nimechonga na jamaa wa ulaya anashangaa tu eti hii kitu inakuwaje imeanzia bongo hahhaaaa nikamwambia JF hiyo!

Thx again farijiel
 
Last edited by a moderator:
mfano km natumia simu yenye line tofaut na ile nikiyosajilia whatsap je hyo call ikipigwa itaingia sm ipi? lini zote zpo hewani ila sim yenye whatsap nimeweka line tofauti na ile n8liyosajilia whatsap.
 
Hahaha itaingia kwenye whatsapp sio line mkuu hata ukatoa line then ukatumia WiFi call itaingia tu kwenye whatsap yako
 
Back
Top Bottom