Whatsapp calling Activation is not working NOW [Server Down]
>*whatsapp wamefunga tena server zao za ku-activate whatsapp voice call,so huwezi kua activated kutumia whatsapp call kwa sasa.
>**kwa ambao tayr walishakua activated wataendelea kupiga na kupokea simu kwa whatsapp bila shida yoyote,,
>***kwa ambao hawajawa activated wataweza kupokea simu tu.
NOTE:>usitume msg yyte kuomba niku-activate kwa sasa mpaka pale server zitakapokua open.
>kama unatatizo lolote concerning whatsapp voice call,,post tatizo lako ndani ya huu uzi utapata msaada.
**** please continue to visit this thread for any updates****
,.........
UPDATES......,.
A) whatsapp messenger got an update now its on version 2.12.12,,,idownload hapa
B) kwa sasa official whatsapp version inayopatikana playstore ni v 2.12.5
FAQ ((frequently asked questions))
1.Ni lini na mda gani server zitakua open au nitajuaje kua server ziko open ili nimwombe mtu ani-activate.??
Ans,:there is no definitely day & time,,endelea kutembelea huu uzi kupata updates zozote.
2. je ni kwann cjawa activated baada ya kupokea cm.??
Ans,;ni kwasababu hujainstall latest version ya whatsapp kweny simu yako,,
pia server kwaajili ya ku-activate whatsapp call zimefungwa kwa sasa,
3. ntajuaje kama tayr nashakua activated kutumia whatsapp voice call.??
Ans,:ni baad ya kuona call icon kweny whatsapp yako na kujarbu kumpgia mtu.
4. kwann siwezi kuwapigia baadhi ya watu walioko kweny contact list yangu,
Ans,:ni kwasabab wanatumia old version za whatsapp,,waambie wa-update version zao za whatsapp.
5.Hii whatsapp call ntaitumia kwa mda gan,??
Ans,: whatsapp call ni ya kudumu,
6. Nawez wapgia simu wat wangp kwa siku na je inafanya kaz had nje ya nchi na kuna ghram zzte za ziada,??
Ans,:
YES,,inafany kaz had nje ya nchi bila gharam zzte za ziada na pia hakuna limit uwapgie watu wangp kwa cku,,,ni MB zako 2.
7.Je,naweza kuwa-activate wengine baada ya kua-activated.??
Ans,:
YES,,baad ya kua activated unaweza kuwa-activate wengine ila lazma awe na latest version ya whatsapp kweny cm yake.
Kama hii post imekusaidia plz
LIKE na utoe feedback,.