Whatsapp calling activation

Whatsapp calling activation

mkuu sasa hawa whatsap mbona siwaelewi elewi,,okay mm nilishaweka hyo new version yao mpya lakini sioni jipya
Huwez kuona jipya mana bado hujawa activated.,.soma post #1 kwa maelezo zaid.
 
farijiel sound repeatation
Hata mm nime-experience hicho kitu kwa baadh ya watu nlowapgia,,ila siwez sema ni whatsapp au mitandao yetu ndo inazngua,,
Kwa ushaur update whatsapp yako to version 2.12.7,,wenywe wanadai wamei-prove call quality katik version mpya.
 
Hata mm nime-experience hicho kitu kwa baadh ya watu nlowapgia,,ila siwez sema ni whatsapp au mitandao yetu ndo inazngua,,
Kwa ushaur update whatsapp yako to version 2.12.7,,wenywe wanadai wamei-prove call quality katik version mpya.

Ngoja niichukue hapa onhax.net
 
farijiel nakupigia hupokei 😊😠 embu pokea ili nihakikishe kuhusu improvements za version 2.12.5 iliyopo playstore
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbona nikipiga au kupigiwa hatuwezi kusikilizana? simu inaita vizuri tu lakin pale unapopokea tu husikii sauti kabisa yaan hii WhatsApp call haina sauti kabisa nn tatizo tafadhali?
 
Ilinizingua nilipokua nikiupdate kwenda version 2. 12. 7 nikaidelete na kuidaunlodi upya. Someone able to call me please. Niambie nikupe namba.
 
Hakuna updates zzte mpaka sasa kuhusian na server,,,naomba wanaohitaj kufany activation ya whatsapp call waendelee kusubir,,
 
note 3 haitokei option ya call natakiwa nifanyeje msaada mweutatuzi jamani......!
 
yes au labda kwasababu ya server labda ila mtu akinipigia napokea kabisa
 
Back
Top Bottom