Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Haha mbona unacheka sana miss
nimeipenda a.k.a yako
Last edited by a moderator:
Haha mbona unacheka sana miss
nimeipenda a.k.a yako
mbali wapi? huko lol......
..
Mbali sana, unapanda magari matatu
nielekeze na mimi nikachukue yangu
Hutaweza, ni mbali sana
we umefikaje mi nishindwe?
View attachment 214288
CC: mshana jr MziziMkavu utafiti HARUFU Tee Bag masai dada Honey Faith Salamander MO11 sosoliso Nancy Mitikisiko na wengneoo...
Haya, kesho utakua free nikupitie??
Mhh miss neddy.. masharubu hayo ya simba unayachezea..
a.k.a Mjusi a.k.a Mujusi a.k.a Mujusi wa Mujusi a.k.a Freemason a.k.a Iluminati a.k.a Baba Liz a.k.a Obama a.k.a Kitungi daily a.k.a Ngumu kumeza a.k.a Baharia wa nchi kavu a.k.a Mzee wa busara a.k.a Sugar Daddy...
Ngoja nishushie bia mbili nitarudi.