Whats your nickname??

Whats your nickname??

hahahaha cc utafiti si tunaenda kwenye kuchukua nick name tu
>>miss neddy
nimeipenda a.k.a yako
>>Utafiti
Nimeitoa mbali sana

>>miss neddy
mbali wapi? huko lol......
>>Utafit
Mbali sana, unapanda magari matatu
>>miss neddy
nielekeze na mimi nikachukue yangu


miss neddy uwe unatosheka na majibu, haya chukua nick name hiyo hapo

juuu.jpg
 
>>miss neddy
nimeipenda a.k.a yako
>>Utafiti
Nimeitoa mbali sana

>>miss neddy
mbali wapi? huko lol......
>>Utafit
Mbali sana, unapanda magari matatu
>>miss neddy
nielekeze na mimi nikachukue yangu


miss neddy uwe unatosheka na majibu, haya chukua nick name hiyo hapo

juuu.jpg

cc miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Kimpuma,sehemu ya mbele ya paji la uso imekwenda mbele kama kofia,ndege ikipita siwez kuiona mpaka nilale chali.a.k.a kimpuma.
 
>>miss neddy
nimeipenda a.k.a yako
>>Utafiti
Nimeitoa mbali sana

>>miss neddy
mbali wapi? huko lol......
>>Utafit
Mbali sana, unapanda magari matatu
>>miss neddy
nielekeze na mimi nikachukue yangu


miss neddy uwe unatosheka na majibu, haya chukua nick name hiyo hapo

juuu.jpg

Hahaha cc utafiti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom