Usitishike miss wewe mkubwa...
a.k.a Mjusi a.k.a Mujusi a.k.a Mujusi wa Mujusi a.k.a Freemason a.k.a Iluminati a.k.a Baba Liz a.k.a Obama a.k.a Kitungi daily a.k.a Ngumu kumeza a.k.a Baharia wa nchi kavu a.k.a Mzee wa busara a.k.a Sugar Daddy...
Ngoja nishushie bia mbili nitarudi.
mmmmh mkubwa tena vinahusianaje na hiyo a.k.a nitagairi u know
Eeeh kwani jamaa gani alokutisha hapa??
na wewe apo umeshaanza kunikuza lol sijui ili ni handle nn?
Ni a.k.a tu.operesheni kimbung haikukuathiri??
Wacha turudi safari yetu kwanza miss
mmmh itabidi nibebe weapon in case of emergence lol
na wewe apo umeshaanza kunikuza lol sijui ili ni handle nn?
Hilo tu si tatizo miss, ata mimi naweza kua silaha kwa adui
lakini hujatajwa hapo juu boss hii ni for members only!!
Anaitwa Messi huyo mtaani kwao.. wewe haya..