Whats up peopleeee

DJ BABU

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
209
0
YOYOYO WHATSSS UP DJ B IN DA HOUUUUUSE....
Wengi washachumbia (waoe) lakini Wazazi wakagoma/ ili binti yao apone..''MI Msanii NItamuua kwa Ngoma/what a job is this? lakini ndo kazi niliyoichagua/

NINA MA IDEA KUMZIDI SHAKESPEARE/
USINHUSISHE NA BANGE/ MI SIO FAN WA BURNING SPEAR/

YOYO PEOPLE MI NDO KI HIVYO NIKO NDANI,MJITA WANGU MMOJA NINI KANTONYA KUNA KUNA MAJITA HUMU KI VILE WANA MA IDEA YA KUFA MTU NDO VIPI NINI NATAKA TUSHIRIKIANE TULISONGESHE AU VIPI?
 
yoyo jf watoto wamependeza
hasa yule kwa chini anaenikonyeza

word up good people, yaani mi niko flattered ile mbaya
oyaa unae konyeza konyeza kama vipi poa mi niko kisingle

preta,smiles pamoko au vipi.
halafu mbona mnaimba matrack ya kiskonga ya mitaa ya longi kimtindo
lakini imekaa fresh majita mnaweza
 
yeyey yeyeeeee yoooooooo
ma site iz 4u boy bt m nt in dat swaga anda 18
m wondering if u could rise up to 30 may b
twcle twcle lil star m wndering wu u r

pwaaaaa pwaaa pwaaaaaa
ma blak niga ,stp telng me ur sngle cz i knw ur dvrced wen ur in 13 yrs old
m nt scavenger just to swalow u as ur,ur gud 4cememntry
twcle twcle lil star i jst knwng wu ur
 
hey sweet pie rose unafanya manini maneno yangu yanakuja kwa juu ya yakwako?
ila umesomeka full,mi sio tineja mrembo mi mbona nina miaka ya kutosha kabisa yaani
halafu huwaga wanasemaga mamiaka ni manamba tu bora nini mnaridhishana ki maupendo
poa lakini uko matawi ya mbali
 
Kazi ipoo, kama naona milegezo na mi tisheti mikubwaaa, buti ova saizi na kapelo ilivoficha uso.
 
shkmaooo djbabu!!!!!1
yap i knw n u sound to be red in yrs
m glad abt t cz u dsplay ur maturity from a to z!!!!!!!
heshima yako mkubwa!!!!!
 
Kazi ipoo, kama naona milegezo na mi tisheti mikubwaaa, buti ova saizi na kapelo ilivoficha uso.

mamushaka yaani hizo zote swaga za kinyamwezi
mi sina za kihivyo mi mgumu flani hivi
ma street knowledge ya kufikia
 
shkmaooo djbabu!!!!!1
yap i knw n u sound to be red in yrs
m glad abt t cz u dsplay ur maturity from a to z!!!!!!!
heshima yako mkubwa!!!!!

ooooi oooi ma respect zaidi mjita wangu
what ya mean a sound to be red in years?
how mature ya presume i am?
 
duuh hapa sio pa kwangu ngo nirudi kwetu

whats up king of kings
juu t shirt chini una jeans
ooooi oooi unanikumbusha mtu wangu kwenye baibo yaani
mfalme suleiman alikuwa na mashori kibwena
big up mjita wangu
 
whats up king of kings
juu t shirt chini una jeans
ooooi oooi unanikumbusha mtu wangu kwenye baibo yaani
mfalme suleiman alikuwa na mashori kibwena
big up mjita wangu
mhh i kweli kwere
we mkarrrrrri si odinarrrrrrrrrreeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom