What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

Hahahah hao hawakuwa watu mzee, unatakiwa upewe kichwa kimoja kinaitwa Agent Bavo. Akumwagie Round kick kadhaa kama za Boyka.

Nina uhakika ukitoka hospitali fujo zako zitakuwa zimeisha rasmi.
THE UNDESIPUTED.

dodge
 
Vipi kuendeshwa na mwanamke? Unaogopa pia?
Wanaume wengi hamtuamini kwenye usukani.
Hahaha hapana, siogopi kwa sababu ya jinsia ya dereva aendeshaye, bali huwa tu nina ile phobia ya jumla ya kutomuamini mtu aniendeshe...

Hivyo nikiwa kama abiria huwa najitahidi kujishughulisha na mambo mengine ili tu nisianze mkosoa dereva kila mara...
 
Deal, Kasinde....just get ready to buckle up


Wuuuhuuuuu yeeeaahhhh.....

What an Eight Sugar.... ahahahahahahahaa

Tadaa dadaa dadaaa...

Tadaa dadaa dadaaa...

Yiiipiiiiiiii aahahahahahaahhahaaaa

Till then, Ciao!!
 
Kuchelewa kazini nakaa karibu kabisa na sehemu ya kazi ila dah mwaka wa 8 huu sijawahi kufika kazini mapema nimejitaidi nimeshindwa zikifika dk20 ndyo naoga nijiandae niende apo nipo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchelewa kazini nakaa karibu kabisa na sehemu ya kazi ila dah mwaka wa 8 huu sijawahi kufika kazini mapema nimejitaidi nimeshindwa zikifika dk20 ndyo naoga nijiandae niende apo nipo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilinisibu kipindi nasoma, hostel zilikuwa ndani ya chuo lakini ilikuwa ni lazima nichelewe kipindi. Hata kama nikianza kujiandaa saa 11 alfajiri, kuchelewa palikuwa hapakwepeki.
 

Similar Discussions

22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom