Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,565
- Thread starter
- #261
Unatumia tea gani?Kunywa chai ninakunywa nikimaliza nachoka sana na kulala ila kesho yake nakunywa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia tea gani?Kunywa chai ninakunywa nikimaliza nachoka sana na kulala ila kesho yake nakunywa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombea Upate Mke mapema boxer zipumzike.Nafutia meza, naifua halafu naivaa tena. Easy!!
But kuwa makini baya lisije likatokea. Sawa?
Wewe unatumia ipi? Lemme guess..Indica?
Tuanze leo basiNitakuambia. Asante kwa kujali.
Sawa Papaa. Mimi sijawahi kabisa hata kuiona live kwa macho.Yes i smoke indica mostly mara chache chache natumia sativa
Usiku si ndio huu? Au usiku wa jana upi?.Tuanze leo basi
yester night sikuweza kulala nikikuwazia wewe
Sasa kwanini zinakuchosha?
Hivi Mr, kuna wakati unakunywa pombe unapoteza fahamu kabisa?.Mi ni alcoholic ajawahi tokea dunia hii trust me you have no idea kiasi ninacho kunywa ila siachi maybe Siku maini yatakapoungua completely nikawa shutdown kama desktop ndo ntaacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipo America kwa sasa mkuuUsiku si ndio huu? Au usiku wa jana upi?.
Au hilo ni jina tuu Diaspora USA?
Okay! Sasa hapo mtihani.Sipo America kwa sasa mkuu
Napatikana Buguruni muda huu
Hivi Mr, kuna wakati unakunywa pombe unapoteza fahamu kabisa?.
,oooops, I am sorry Lucas for what you learned out.
How are you doing now? Still sad?
Thanks
Ni wanaume wengi Chief. Akili na majuto huwa yanakuja baada ya kukata kiu.
Kuna siku nilikunjwa chupa kadhaa, nikaamsha vurugu. Wakaja watu kwa haraka haraka kama sita.you must face master shio...im pretty sure he will teach you a lesson.