What was your favourite childhood toy ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What was your favourite childhood toy ?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Boflo, May 4, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mdoli au Mwanasesere?
  Bastola?
  Gari?
  Udongo wa kufinyanga
  Mpira au?
  ??????

  Nilikuwa napenda bastola, wakati wa kulala naiweka chini ya mto, nilikuwa najua kuna

  siku tutavamiwa na jambazi nitamtisha na atajua ni ya kweli ! lol

  Pia nilikuwa napenda wanasesere wa kike, nawavua nguo na chupi na kufanya uchunguzi......

  Na wewe je???
  toy 1.jpg
  [​IMG]X


  [​IMG]X


  [​IMG]X


  [​IMG]X


  [​IMG]X


  [​IMG]X

   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mie napenda mdoli wa ukubwani anayepumua.
   
 3. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nini??
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Boflo....
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  anayetembea bila miguu.

   
 6. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hivi Boflo naomba nikuulize ka swali. Naonaga au nasomaga watu wakiandika Bofloooooooooooooo. Kama vile wanamaanisha matusi fulani lakini sina uhakika. Naomba tafadhali unijuze, je wanaku-refer wewe au ni msemo tu umeingia siku hizi.

  Kama nimekukwaza nisamehe

  Back to the topic, mie nilipenda kuendesha gari nilizokua natengeneza kwa mabamba, if you know wot ai mean
   
 7. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Gari ndo mpango mzima
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tripo9 nimekupata na haukunikwaza....."Bofloooooooooooo" sio matusi, kuna wana Jf wengine wamepinda mkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...