What the @#$#@ is going on?

foreign funds ndo ya kutumiwa vibaya sio?

tunaanza kutetea wizi/ubadhirifu bila haya. tumetafuta sisi wenyewe au ni kodi ya wajapani zote hazistahili kutumiwa vibaya
 
Yaani, ngoja waandamane kuuunga mkono mipango "yao" ya maendeleo "yao"... Hii inanikumbusha walivyofanya kwenye bodi ya mikopo kabla sijawaambua miaka ile! Mimi nadhani kuna mahali fulani hawa jamaa wanafundishana kuchota hela! Utagundua kuwa kwenye suala la Dowans, walitenga hela zetu (siyo za wafadhili) lakini kwenye miradi ya ajira za watoto wakatenga za wageni!

ulitaka pesa ya wageni itumike halafu waanze kuulizwa
maswali na kupewa mashinikizo!

unaona ukitumia pesa ya ndani watu wakileta stori mbofu mbofu
unahutubia taifa na kutangaza kwamba issue imefungwa na mambo yote yanakuwa kwishney.
 
Let me add my two cents:
- It is shameful that the goevrnment is using donor funds for the most important issues like child protection and social security cover for all and then uses local funds for stealing.
- The amount of money put aside is not properly balanced and definitely needs more analysis and explanation - ungepata maelezo zaidi ingekuwa vizuri
Kama nawaona hawa - "Oh, pesa za wafadhili ni noma! wanafuatilia sana, hebu tuchote hizi za wadanganyika, kwani ina mwenye? Sisi ndo wenye nchi, hebu tengeni pesa za maana...."
Shameful! But noone can hold them accountable for local funds except US - taxpayers. And we have to start immediately.....
 
Halafu hawaja jamaa sijui hesabu zao zikoje; kwenye items 3176 na 3191l kwenye jedwali la kwanza juma ya zile fedha za ndani na za wafadhili haziletwi kwenye jumla kuu kama walivyofanya kwenye item ya kwanza hapo juu..

I don't know. let me drink ulanzi wangu!
 
Hiyo ya Dowans tumeshaiona lakini hizi za masuala ya watoto nahisi kama ni foreign participation. Jee wenyewe watatowa fedha tu bila kuwa na uhakika wa wanachotenda labda na wenzetu juu ya kuendelea kwao basi na wao wana walakin.
 
At what cost are you trying to justify that at least those a foreign funds? why tanzaniana are still clinging to foreign aid and become very dismissive of misuse of loand, grants and aids from donors?

Gosh, have a nerve to feel ashamed for uttering such stupid sigh!

I was just pointing out what was posted, the funds that were circled with regards to child protection and those others, if you look at the source...siyo hela zetu...UBUNGO project was 100% hela za watanzania...sasa kama donors wametoa hela kwaajili ya ku-fund hizo projects, shida iko wapi...
LOOK AT THE SOURCE COLUMN kabla ya kukasirika...wote hapa tunafahamu na hatutetei wezi hao..walipanga tangia zamani kuiba hao.

We may not agree on where the funds are going but the source of the money and what its planned for is the issue.
 
Ukijenga shule kwa hela ya watanzania na ukijenga shule kwa hela za misaada tofauti iko wapi?

Hela zozote zinazoibiwa haziwafikii wananchi, na zinakwamisha maendeleo hilo ndio tatizo.
 
Ubungo gas fired power plant haina maana kuwa ni Dowans. Kuna Songas and other companies. Na huu ni mpango wa maendeleo [wa CCM au serikali?] kati ya mwaka 200 hadi 2009. So, pengine wakati wanaandaa mpango huu wazo lilikuwa serikali inunue mitambo ya kuendeshwa kwa gesi [not necessarily from Dowans]. This is not even annual budget [approved by the parliament]. Inawezekana tangu waandae mpango huu, ni activities chache tu zimeweza kuingia kwenye bajeti za mwaka.

Sasa najua utasema natetea serikali or whoever is behind this plan. You will be wrong. Ninachotaka kusema ni kuwa, we should not be quick at jumping into conclusions. Maybe this document isn't valid anyway.

Ingekuwa imetengwa kwa mpango wa maendeleo si Dr Rashid na Ngeleja wangeenda kulala maelezo.
Wakiona waandishi wa habari wanaona kama kituo cha polisi kasoro wa New Habari.

za watoto zimeshaliwa, dowans sijui wa shalipwa kimya kimya.
jamani waziri wa fedha si ndio yule aliyenunua yale mabati kwa bilion 40 hata shingai.
 
Nilikuwa napitia pitia makabrasha fulani nikakutana na mpango wa maendeleo wa 200/2009 wa serikali ya CCM na programu mbalimbali ambazo zimetengewa fedha. Just "by accident" nikaona hili nikabakia kusema!

Hapa naona umeruka tarakimu, tuwekee ili tufahamu vyema, kwani iatatupa maono zaidi jinsi ambavyo hizi fedha zilivyopangwa na pia kuweza kufuatilia jinsi zilivyopanga kutumiaka na zilivyokwisha tumika.
 
Project ya Ubungo bajeti yake ni bilioni 66, bei ya mitambo ya Dowans tuliambiwa bei yake ni bilioni 69!
 
Hapa naona umeruka tarakimu, tuwekee ili tufahamu vyema, kwani iatatupa maono zaidi jinsi ambavyo hizi fedha zilivyopangwa na pia kuweza kufuatilia jinsi zilivyopanga kutumiaka na zilivyokwisha tumika.

yeah nimeona samahani.. ni 2008/2009
 
Ubungo gas fired power plant haina maana kuwa ni Dowans. Kuna Songas and other companies. Na huu ni mpango wa maendeleo [wa CCM au serikali?] kati ya mwaka 200 hadi 2009. So, pengine wakati wanaandaa mpango huu wazo lilikuwa serikali inunue mitambo ya kuendeshwa kwa gesi [not necessarily from Dowans]. This is not even annual budget [approved by the parliament]. Inawezekana tangu waandae mpango huu, ni activities chache tu zimeweza kuingia kwenye bajeti za mwaka.

Sasa najua utasema natetea serikali or whoever is behind this plan. You will be wrong. Ninachotaka kusema ni kuwa, we should not be quick at jumping into conclusions. Maybe this document isn't valid anyway.

Mimi nashawishika kukubaliana na hisia zako kwamba watu watajua unatetea Serikali au CCM kwa faida zako unazojua.

Kwenye heading ya hiyo Table imeandikwa mpango wa Maendeleo 2008/2009 wewe unasema ni wa muda mrefu 2000/2009 !! kabla ya Dowans !!!!!!!! ??? Is it Not changing the meaning??

Gas Fired za Songas haziwezi kupewa ufadhili na serikali kwani ile inajiendesha kama Private company na inafanya biashara ya kuuza umeme kwa serikali through Tanesco, kwa hiyo wazo lako la kwamba hizo pesa ni za miradi mingine zaidi ya Dowans ondoa.

Na kama ni za miradi mingine yote hapo imetajwa kama IPTL n.k . Hivyo hizo pesa moja kwa moja ni za DOWANS na ukizingatia figure iliyotajwa ni ile ile !!!!
 
Nilikuwa napitia pitia makabrasha fulani nikakutana na mpango wa maendeleo wa 2008/2009 wa serikali ya CCM na programu mbalimbali ambazo zimetengewa fedha. Just "by accident" nikaona hili nikabakia kusema!

........Ten Thousands Blue Blistering Barnacles.......Damn!
 
Aisee hawa jamaa ni hatari sana. Kila kitu kiko planned. Ukiangalia katika vipengele hicho cha 3137 ndiyo kikubwa kwani wamekipa hela nyingi. Nashukuru kuwa kilele zilizopigwa zimesaidia kwa kiasi fulani kuokoa hiyo hela. Though hatuna uhakika kama hawatajaribu kuipitisha kwingine lakini imesaidia na hata ikipitia huko siyo yote. Ukiangilia hizo nyingine nyingi ni za nje hivyo japo wataiba lakini kwa akili zitawachemka kwani jamaa lazima waje kuulizia zilivyotumika hivyo kuna vitu vichache vitafanyika.

Maana kwa percentage hela ya ndani yote ilikuwa kwenye umeme. Pia i believe hawa jamaa hiyo code 5414 wamefanya purposely kwani hata hela iko tofauti. Hicho ni kitu cha muhimu sana hawa watu wanalipwa malupulupu kibao harafu wanfanye error kama hii! Sidhani.

Thanks Mwanakijiji, hawa ni mafisi wanakula kila kitu....
 
Kumbe na wewe umeliona hilo la 5414! ndio maana hawaishiwi faragha
 
Shame on them.... Yaani kuna makosa ya kuchapa, makosa ya tarakimu na majumlisho, na nina uhakika ikionekana ripoti kamili kuna madudu hata zaidi...... Hii inaonyesha jinsi gani pamoja na kutokujua wanafanya nini (manake tamaa imezidi labda, au wako na kasi ya kukusanya) wanafanya madudu matupu!!!!

Shame on them...............
 
Back
Top Bottom