What matters in love

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
13,157
10,655
Aisee..... me wondering kipi kina mvuto zaidi kwa akina female when it comes to men, ni SURA
View attachment 52755
au... mambo ya fwezaNA SEXY CARS??
Explorer.jpg
 
wanawake tunapenda wanaume wanaojiamini.....
waliokaa kiume.....yule ambaye ukiwa nae unajisikia uko kwenye usalama...(hii inaapply nadhani kwa wanawake wote).....
sio mwanaume uko nae wewe ndio unakuwa mwanaume.....hatutaki wanaopenda kulelewa....
wanaume suruali....tupa kule....

nitaendelea......
nipenda sana hii topic....
 
Je? Mwanaume Shalobalo anahusika kwenye chaguzi yako ?
 
Je? Mwanaume Shalobalo anahusika kwenye chaguzi yako ?

huyo ndio sitaki hata kumuona......
mwanaume anava viatu vimetoa ulimi nje kama wa mbwa....
mwanaume ambae haishi maisha yake....kujidai tu nina hiki nina kile kumbe kapuku.....(tunarudi pale kwenye kujiamni..)

nitaendelea.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom