What is your "Sweetest" Childhood Memory?? THAT It made you feel So Good and Speacial!

visa vya utotoni ni vingi, kuna shangazi yetu mmoja huyo alikuwa na meno mawili tu mdomoni na alikuwa anapenda kula sisi watoto maana spidi yake ilkuwa slow kama sisi. Wakati tunakula tunamshawishi ale nyama. Akiiweka tu mdomoni anaanza kuichezesha maana anatumia mda mrefu kutafuna kwa hiyo sisi tunatumia mwanya huo kukomba sahani yote.
 
Hahahahaha!wala hujakosea swaiba,embu mpatie picha akiwa anahangaika kuweka kioo chini ya miguu ya kabinti ili tu aone rangi ya chupi hahahaha!ukubwan kaadvance ni mwendo wa kukagua wajukuu tu,hahahaha!ODM bwana!

dah,kala utotoni mpakani uzeeni bado tu anataka,hivi ile naniii huwa haizeeki?
 
jamani meno mawili tu,mengine alipeleka api akiwa kijana hivyo?
 
Meno mengine alipeleka wapi?
 
i just hope haujarithi mdogo wangu

Mimi sijarithi ila kwa akina Bishanga karibia wote wamerithi tabia ya mdingi wao. Mdingi wao alikuwa na tabia ya kutoboa kwenye kuta za watu hasa chumba cha wanandoa halafu anakula chabo . Bishanga huyu huyu msimuone hivyo
 
Jibu PM basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…