what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

haa Ennie huyu Asprin nadhani umeshamjulia, ningeshangaa kama asingeuliza swali hilo, kifupi alikuwaga mwanafunzi bora darasani kwa kuuliza maswali, sasa mwambie hivii, tumeanza zamani sana kabla hajamjua cacico...LOL
shemeji sabal kheri, usijebaka tu kama mbunge wako wa kule urambo! january ndio hiyooooo na mimi ndie yuleeeeeee!
 

Mwee!!!
 

nimegundua wakati wakura za maoni, kura za wananchi wengi zitakuwa huku,.....so kampeni ya ngazi ya shina hii hommie.....

halafu ndio nimegundua kuna maoni mengine hayakuingizwa kwenye rasimu yetu.....

CC cacico
 
Last edited by a moderator:
shemeji sabal kheri, usijebaka tu kama mbunge wako wa kule urambo! january ndio hiyooooo na mimi ndie yuleeeeeee!

hahaha safeeey shemeji watu wazima hawabakani ujue! tatizo la mbunge wangu anapenda sana tubinti tudogo......so usitie shaka shemeji yangu!
 
unacheza mieleka nini... au mbabembabe......mpaka ukapewa hiyo nickname...

che che che!!! aisee umewaza mbali sana! yani mimi49 awe joni sina!

aithee!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…