What is your favorite food?

Hupaswi kuwa na favourite food bwana, utakinai. Anything meaty inapendeka hapa.
 
Yeah tunakanda na tui..mie naweka hiliki samli kdg n blue band kdg hiliki hamira banking powder yai na sukar kiasi....ni mazuri sana

Eeeenh mnaonaaaa...yaani pilika zote hizo laandaliwa andazi tu...nyie kinamama mafundi sana
 
Ni bamia linalovutana limekatw vipande vidogodogo na kupikwa na maji pamoja na chumvi...tena linanoga likiwekwa uduvi au magadi...

Kiasili mlenda una majani yake yaitwayo majani ya mlenda na ndio hayo hupikwa...
Utumiaji wa bamia ni njia mbadala tu kwa watu wale wasoweza yapata hayo majani...
 
Hilo pilau ukilipata na chachandu linanoga sana
 

Nimesoma kwa umakiniiii weeee hadi hapo kwenye red nimecheka hadi office mate ananishangaa,yani the argument imekua serious mwishoni the humor jus made me laugh!!!!
 
wali maharage.


Huu ubwabwa wa maharage wa kishua sana. Unapatikana zaidi mitaa ya Upanga, Masaki, Oysterbay nakadhalika. Weka ule wa Tandale au Buguruni kwa mnyamani. Kitu wali nazi, harage nazi na maji ya kunawa yale maji ya nazi ya mwisho mwisho.
Usibonyeze. Full kucheua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…