Corolla
Sil matangoKaza dogo, mbona unaandika kama unataka
Mswalie mtume ustaadh!ππππUtasikia kanasema "babu(y) ntoe baLidiπ€£
Hata dawa iliyochemka?Maana huwa tunawaambia dawa zao zipo jikoni zinachemka!Vina kiranga hivyo..! Halafu havisikii dawaπ€£ππΏππΏ
Dream big sis πCorolla
Chombo ya fundi iyo
Siijui hata ikoje! Nilifurahishwa tu na chalamilla πNimewahi kumiliki corolla DX Wagon manual, leaf spring nyuma, 4e engine magneto. Mpaka leo kopi ya kadi ninayo. π
SitakiπDream big sis π
Sitakiπ
Nataka cx5π
Umeona eeh! Looks good on meπCX-5 Mazda wewe itakufaa sana. π