What is your dream car?

Fanya masikhara tu kaka ila jua ulozi unavuka bahari ndio maana namuamini kwenye masuala binafsi, akisema Yes muamini 😁😁😁
Nipe vigezo ambavyo mimi mapswa kuamini hili bwashee , akianza na maisha yangu ni vyema zaidi
 
Hana maajabu brother, saa hii anakula kischana tu huku wimbo wa mayday ukivuma kwenye speaker
Halafu yupo bongo na mimi now sipo bongo , na nikiwa bongo namzidi hako kasalari kake kakimagumashi
 
Unajua watani mna masikhara sana 😁😁, nisije kuingilia baadae mkaanza kunishambulia
Pacha yangu kaolewa na mhaya ,na yupo Canad,a huu upumbavu sikuruhusu uendee bila baraka zangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…