What is wrong with me?

ww una mambo kwenye maisha unahisi yanakusumbua na umekata tamaa km utaweza ya solve cha kwanza...cha pili unaingiza negative charge nyingi while positive charge chache kifupi unaingiza ujinga mwingi kutoka different source(fb,whatsup,instagram)...tiba sasa solve matatizo yako dont lose hope face them....pili punguza kampani ya ujinga ujinga ht km utapunguza mitandao ya kijamii...sasa km tatizo ni usingle geli bas ni pm tu
 
Utakuwa umepigwa kibuti ww. ndiyo dalili zake hizo.
 
Am like that sometime,na huwa najiulizaga swali moja tu nilizaliwa kimakosa nn? And feel like i don't deserve anything in this world
 
Jitoe na humu JF.
(Jokin)

Well its cz hujapata soul mate. Lakn keep calm, the best is yet to come. Love is a beautiful thing, when you pick the right one.
Very true ina impact kubwa sana hii
 
Huo ndo ukweli madam,na tatizo hili huwapata sana wanafunzi wa vioni kwa sababu vioni kuna mazingira yenye mvuto wa kuingia kwenye mapenzi hasa ukizingatia mda mwingi unakutana na watu wa kila aina wenye mvuto tofauti tofauti kuanzia uzuri wa sura,mwili,uvaaji na kadhalika!.....Mimi nilipokuwa chuo kikuu GPA yangu iliyumba kutokana na hiyo hali kwani mwili wangu ulikuwa unavutiwa sana na wadada ila akili yangu ikawa inaniambia NO,kwa hiyo kukawa na vita kali sana kati ya akili na mwili matokeo yake nikaishia kudhoofika kimwili na kiakili na hatimae GPA ikayumba!!.....i won't forget!
 
Ulitatuaje tatizo
 
Ulitatuaje tatizo
Kuna dada nilikuwa nampenda sana na yeye pia alikuwa ananipenda sana pia,nilipoona nazidiwa ilibidi nimwambie hali halisi na yeye akanijibu kuwa hata yeye hali yake ni mbaya sana,kwa hiyo akahamia kwangu hatimae afya ikarudi tukaanza kupendeza kama zamani,akili zetu zikatulia na tukaanza kufaulu masomo vizuri!!
 
Am like that sometime,na huwa najiulizaga swali moja tu nilizaliwa kimakosa nn? And feel like i don't deserve anything in this world
Oh jaman pole msweety....the best is yet to come mwaya....time heals,they say.....be patient and sali sana!!!!
 
Kama mpaka leo hujui nini maana ya kutiwa heri umkabidhi STUNTER kwa huyu dada mleta uzi ambae ukame unamuua kwa sababu unambania sana STUNTER!
Nimeshakuambia tuache mbona husikiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…