What is wrong with me?

Una mood swings rafiki!!Je unatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?Una mwenza.Muongezeko wa homoni unasababisha kuwa na vihasirahasira vya karibu!
 
Tusiwe wepesi kuhukumu bali tuchukuliane na kuvumiliana kwa upendo. 1 Petro 2:23 "Yeye alipotukanwa hakurudisha matukano; alipoteswa hakuogofya; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki." Yakobo 5:7 "Kwa hiyo ndugu, vumilieni, hata kuja kwake Bwana. Tazama mkulima hungoja mazao ya nchi yaliyo ya thamani, huvumilia kwa ajili yake hata yatakapopata mvua ya kwanza na ya mwisho."

Lumia 950 using mtalk
 
It's wrong with you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…