Eiyer ndoa ni zaidi ya sex mydia wanaosema hivyo nadhani huwa wanasema kwa hacra ya kunyimwa hiyo sex ambapo hatua hii hufikiwa baada ya mambo mmengi ya kindoa kuharibika. Ndoa ni kushare sehemu ya maisha yako yaliyobaki na mtu umpendaye, mtu anayekufanya ujisikie furaha pale uwapo na hacra; anayekufariji upatwapo na huzuni; anayekujali uwapo na uhitaji; anayekuliwaza uhitajipo liwazo; mtu ambaye yuko tayari/uko tayari kufanya mambo mengi naye ikiwemo kuchangia katika kutengeneza viumbe wa kuijaza dunia; uzao utakaobeba alama ya muunganiko wenu ninyi wawili. Mengineyo hutokea kwa bahati mbaya.

Sex unaezaipata hata nje ya ndoa mf. kama ni mwanaume anayehitaji sex tu ili aoe si anawezanunua kwa dada poaz? kama ni mwanamke anayetaka aolewe ili apate sex, si awezafungua tu biashara?

Kufuata mkumbo yesi kuna wanaooa/olewa kwa kuwa tu flani kaoa/lewa au marafiki zangu wote wameoa/olewa but mara nyingi za aina hii zinaweza zisifike popote
What is the purpose of your mariage?Nini lengo na matarajio ya mahusiano uliyoanzisha?Wengine hudai wametoka kwao wameacha chakula,vitanda nk ila hakikuwepo kitu kimoja tu(sex)je hiki ndo kinachofanya watu waoane au wawe na mahusiano?Au kuna sababu nyingine?Unachokifanya sasa hapo ndo lilikuwa lengo lako?Kuna sababu zaidi ya moja ya kumfanya mtu afunge ndoa?Au umeingia kwenye ndoa kwa kufuata mkumbo?Je umewahi kujiuliza hili swali?Mlio kwenye ndoa tusaidieni,ili walio nje na wanaotaka kuingia wapate "aidia" kama kuna sababu au ni kufuata mkumbo,au waingie kwa sababu kuna kuingia kwenye ndoa au waingie kwa sababu ya mwili!!
...ya kweli hayo Bebii???Kiukweli sielewi purpose ni nini ndo maana hata sifeel kuingia humo ngoja wataalam watueleweshe

Anayesema hivyo mwongo. Mbona sex zipo za bwerere tu siku hizi? Sababu zinaweza kuwa moja ama zaidikama ifuatavyo:-
(i) Kupata mwenza wa maisha (mtu wa karibu ambaye unaweza kushauriana naye mambo yenu ya maisha ya kila siku)
(ii) Kuanzisha familia pamoja ikiwa ni pamoja na kupata watoto. (caution: unaweza kuo na usibahatike kuwa na watoto ndio maana nimesema kuanzisha familia)
(iii) Kusaidiana kimaisha (Ila hii inaweza kuwa chanzo cha mgogoro kama mwanaume ataona akitarajia kusaidiwa na mke bila ridhaa ya mwanamama)
(iv) Kupata jiko (yaani mtu wa kurahisisha masuala ya jikoni, kufua, kuosha vyombo n.k. - hii ni kwa wanaume tu)
(v) Kupata ATM (yaani mtu wa kutoa pesa za kuendesha familia - hii ni kwa wamama tu. Kwa wanaume refer iii above)
(vi) Kukubalika na jamii inayotunzunguka yaani ukoo, kabila, majirani - (nakumbuka wakati naanza maisha ilikuwa ni rahisi zaidi kwa watu waliooa kupata chumba/nyumba ya kupanga kuliko kwa watu wasiooa kwani tulikuwa tukionekana wahuni na waharibifu). Kwenye kabila letu mtu ambaye hajaoa hawezi kupewa nafasi ya uongozi kwenye jamii kwani bado hajapata mafunzo ya msingi ya uongozi katika kiwango cha familia.
Naona niishie hapa kwa leo.
Eiyer ndoa ni zaidi ya sex mydia wanaosema hivyo nadhani huwa wanasema kwa hacra ya kunyimwa hiyo sex ambapo hatua hii hufikiwa baada ya mambo mmengi ya kindoa kuharibika. Ndoa ni kushare sehemu ya maisha yako yaliyobaki na mtu umpendaye, mtu anayekufanya ujisikie furaha pale uwapo na hacra; anayekufariji upatwapo na huzuni; anayekujali uwapo na uhitaji; anayekuliwaza uhitajipo liwazo; mtu ambaye yuko tayari/uko tayari kufanya mambo mengi naye ikiwemo kuchangia katika kutengeneza viumbe wa kuijaza dunia; uzao utakaobeba alama ya muunganiko wenu ninyi wawili. Mengineyo hutokea kwa bahati mbaya.
Sex unaezaipata hata nje ya ndoa mf. kama ni mwanaume anayehitaji sex tu ili aoe si anawezanunua kwa dada poaz? kama ni mwanamke anayetaka aolewe ili apate sex, si awezafungua tu biashara?
Kufuata mkumbo yesi kuna wanaooa/olewa kwa kuwa tu flani kaoa/lewa au marafiki zangu wote wameoa/olewa but mara nyingi za aina hii zinaweza zisifike popote
Mliochangia mmechangia vyema lakini nina kaswali ka kizushi,hivi ukioa halafu ukakuta "ikulu"haipo ndoa itaendelea?Ukiolewa ukakuta jogoo hawiki ndoa itaendelea?

Before the marriage:What is the purpose of your mariage?Nini lengo na matarajio ya mahusiano uliyoanzisha?Wengine hudai wametoka kwao wameacha chakula,vitanda nk ila hakikuwepo kitu kimoja tu(sex)je hiki ndo kinachofanya watu waoane au wawe na mahusiano?Au kuna sababu nyingine?Unachokifanya sasa hapo ndo lilikuwa lengo lako?Kuna sababu zaidi ya moja ya kumfanya mtu afunge ndoa?Au umeingia kwenye ndoa kwa kufuata mkumbo?Je umewahi kujiuliza hili swali?Mlio kwenye ndoa tusaidieni,ili walio nje na wanaotaka kuingia wapate "aidia" kama kuna sababu au ni kufuata mkumbo,au waingie kwa sababu kuna kuingia kwenye ndoa au waingie kwa sababu ya mwili!!