MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
....lol,...haya sasa....!
mwj1 miaka saba iliyopita nilikuwa kwenye relationship na mwanamke anayejiskia hivyo...
kila jitihada niliyofanya kumhakikishia yeye ndio yeye, hata kufikia hatua ya mimi kugombana na
kutengana na familia yangu kumthaminisha yeye, bado tu hakujiamini...na akaendelea ku cheat zaidi
ya mara saba nizijuazo mimi mbu!...
mwj1....i did everything bana, everything unayoweza fikiria,
hapana bana...ni ujinga wake tu uliotukuka....lakini, amenisaidia sana kuujua ukweli kwamba
mwanamke asiyejiamini hafai asilani kuwa mke na wala simshauri yeyote kumuoa mwanamke wa aina hiyo!
....lol, (ashakum si matusi)...ile midomo si ilitokana na swali bana? kuna mtu alisema ati tofauti ni nini kati ya nanihii ya mkewe na hiyo ya nje...sasa nami kumjibu kidiplomasia, nikamuonyesha hata midomo (hii ya kulia chakula) haifanani, sembuse nanihii ya mkewe na ya kimada?
Pole Mbu nakubaliana na wewe kuwa kutojiamini ni sababu pekee ya kucheat, huyo atakuwa alikuwa na nyinginezo, ambazo kama ninavyoamini siko nyingi tu! kuna wengine wanafanya kwa tamaa, lakini pia kuna ile ya kuwa serial cheaters.....wanacheat for the thrill of it bana. They love their husbands, would never entertain mawazo ya kumuacha/achana na mumewe but they want something extra Mbu. Yaani they tend to miss ile hali/feeling inayoambatana na kujua/hisi mume wake can't keep his hands off her. Anakuwa anataka kuhisi anatakiwa/anahitajiwa, feel sexy, ajione kuwa anamturn on her husband kila wanapokuwa pamoja but ile feeling inapogeuka mazoea, inapokwisha.......... atatoka looking for it outside the marriage.