....lol,...haya sasa....!
mwj1 miaka saba iliyopita nilikuwa kwenye relationship na mwanamke anayejiskia hivyo...
kila jitihada niliyofanya kumhakikishia yeye ndio yeye, hata kufikia hatua ya mimi kugombana na
kutengana na familia yangu kumthaminisha yeye, bado tu hakujiamini...na akaendelea ku cheat zaidi
ya mara saba nizijuazo mimi mbu!...
mwj1....i did everything bana, everything unayoweza fikiria,
hapana bana...ni ujinga wake tu uliotukuka....lakini, amenisaidia sana kuujua ukweli kwamba
mwanamke asiyejiamini hafai asilani kuwa mke na wala simshauri yeyote kumuoa mwanamke wa aina hiyo!
....lol, (ashakum si matusi)...ile midomo si ilitokana na swali bana? kuna mtu alisema ati tofauti ni nini kati ya nanihii ya mkewe na hiyo ya nje...sasa nami kumjibu kidiplomasia, nikamuonyesha hata midomo (hii ya kulia chakula) haifanani, sembuse nanihii ya mkewe na ya kimada?