What is the purpose of cheating????

Yuo are very right. Na ndio maana asilima kubwa wakikamatwa wanamsingizia SHETANI kwa kuwa hawana explanation.
Utasikia hata mimi sijuhi; shetani huyu.

 

...hata sigara ina madhara lakini watu wanaendelea kununua na kuvuta...kila mtu na starehe 'ake bana...kama mimi mbu na wewe haitunogei, wengine kwao 'hobby!'
 

jino kwa jino...ni kweli hii pia ni among the reasons zinazotolewa lakini nawezasema ni sababu za kitoto kwa sababu hapo kwenye Blue ina maana tangu anakutana na kuwa naye alikuwa hajui kuwa hajitumi? Na pili hapo hapo (jumlisha na hiyo red) kwa nini asizungumze na mwenzi wake ili wa'rekebishe' palipo'pelea'?

Hivyo ulivyomalizia sentensi yako ni kama vile huyo mdada kapikiwa chakula kibovu, anapita kwanza kwa jirani anakula kizuri kisha anakuja kujaza tumbo tena kwa hicho kibovu. Kwa nini asiseme kuwa chakula si kizuri ni kibovu na siku nyingine ajaribu kuingia jikoni na kuonyesha jinsi chakula kizuri kinavyotakiwa kupikwa??

.........Mimi nafikiri some people wanapenda tu varieties!
 

...khaaa?!....hahahahhahahaaa......! hivi ee?
 

Thanx 4 being open,but that is not a justification!
 
Cheating ni kama ukiwa restaurant umeagizia pilau jirani yako akiletewa biriani unaitamani. Iko akilini zaidi. Ni mapungufu ya watu wazioweza kujizuia.

Unaongea kama vile its a simple thing,bu when u see the outcome u'll change your mind!
 
AMINATA,inaonekana kila mtu ana sababu yake and make this thing more complicated!
 
Sababu za kucheat zinatofautiana (hasa kwa wanawake) ambapo wapo wanaocheat for love (kuwa amejikuta amempenda wa pembeni akashindwa kuushinda moyo wake) some need a boost in their self-esteem especially wale ambao kwa namna moja au nyingine wanajihisi hawana confidence/ self esteem ni ndogo mf. wale wanaojihisi they are not attractive, feel no longer attractive sexually e.t.c. kwa kuwa pengine mwenzi wake anamfanya ajisikie hivyo- hamthamini, hamsifii, hamjali yaani hana time naye. Akitokea mwanaume mwingine akamsifia na kumfanya ajisikie anathaminika, mwanaume akaonyesha interest in her emotions atamuwin....they say a woman with low-esteem is a sitting duck for a man anayesifia na kuthamini (Sasa sijui nasi tuanze kublame wanaume kuwa nao ni chanzo cha wake zao kucheat?

Hata hivyo wapo wale ambao they are just wired to be unfaithful.
 
Reactions: Mbu
MJ1 nimekukubali hapo 45%tu!
 
The purpose of cheating is to cheat! simple..... the question/topic rather be what is the reason of cheating! huu ni mtazamo wangu tu jamani
 
"......Marriage is like a Dance, No matter how the Music changes you keep on Dancing..."

hehahaaaa Mwanajamii, nimecheka hadi basi kwa sentesi hii, nimejiangalia mwenyewe nimesha dance for about 19 yrs now and am still dancing, no matter what, sometimes music changes au hata kuzimika ghafla but you keep on dancing like a fool... oooh this life is very interesting, thats why napenda kuishi tu nizidi kujifunza na kuona mengi... thanks d
 
MJ1 nimekukubali hapo 45%tu!

Eiyer

Kuna wengine (wanawake) wanafanya kwa revenge maana wanasema there is no better way to get back at a husband who has cheated than to cheat. Na pia wanasema "hell hath no fury like a woman scorned." Kuwa kama mume anataka kujua au kuweka that evil part ya mkewe (huku kwetu tunasema kila mtu anacho kichaa chake, sasa ukitaka kukureveal kichaa cha mwenzi wako mke let her doubt your fidelity.


Kuna sehemu nilisoma mfano wa mwanamke aliyekuwa so devoted, alitumia muda mwingi sana kuimarisha familia yake, kiuchumi na kijamii na aliiweka ndoa yake ikawa ya kwanza........siku alipomkuta mumewe na mwanamke mwingine, kwa hacra naye akalipiza kisasi kwa kujikoki kubadilisha kabisa life style yake...yaani alistop kabisa kuvaa zile Grandma's pants na kuhamia kwa Victoria's Secret; them Cassandras, akaingia kwenye urembo 100% na kisha kutafuta mwanaume wa pembeni wa kumwonyesha hizo lingeries!


KWa hiyo kina baba mnapokuwa mnacheat wake zenu, jueni kwamba, anawezaamua kukupa za "tit for tat." na kama wanavyosema hakuna suprise ngumu kumeza kama kugundua kuwa your devoted wife has decided that what is "good for the goose, is good for the gander."
 

....lol,...haya sasa....!

mwj1 miaka saba iliyopita nilikuwa kwenye relationship na mwanamke anayejiskia hivyo...
kila jitihada niliyofanya kumhakikishia yeye ndio yeye, hata kufikia hatua ya mimi kugombana na
kutengana na familia yangu kumthaminisha yeye, bado tu hakujiamini...na akaendelea ku cheat zaidi
ya mara saba nizijuazo mimi mbu!...

mwj1....i did everything bana, everything unayoweza fikiria,
hapana bana...ni ujinga wake tu uliotukuka....lakini, amenisaidia sana kuujua ukweli kwamba
mwanamke asiyejiamini hafai asilani kuwa mke na wala simshauri yeyote kumuoa mwanamke wa aina hiyo!

Loh hivi ile midomo sita ilomchanganya Klorokwini iilikuwa ni kuturingishia lips tu au kuna ujumbe ulitaka tuupate Mbu?

....lol, (ashakum si matusi)...ile midomo si ilitokana na swali bana? kuna mtu alisema ati tofauti ni nini kati ya nanihii ya mkewe na hiyo ya nje...sasa nami kumjibu kidiplomasia, nikamuonyesha hata midomo (hii ya kulia chakula) haifanani, sembuse nanihii ya mkewe na ya kimada?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…