What is the most attractive Feature of your partner

Konnie atakuibia tu, mzoefu huyo. Mtagute lara 1, si unajua bado mpya hawajafungua makaratasi (tena yale wanafungiaga camera, yanaviduse vya kupasua tussss-tussss!)
Hahahaha...huyo ndugu yako siyo kwamba anampiga madongo mkewe indirectly??

Halafu shem unaniharibia sasa...mwenzio Kongosho keshapenda macho, kafa kaoza..haambiliki!!




Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Waoooh! Kesho mchana nitakupitia twende kula chips za kwa eddo then hapo nitakuambia kitua ambacho ni most attractive kwako!!
DAH.....umetaja chips za EDDO...Maranyingi nikimpelekea mpenzi wangu hua anazifurahia sana...nimemkumbuka sana..na nazidi kuvutiwa hasa nikimuangalia machoni mwake...huwa nahisi kama antaka kusinzia vile !!!
 
Nzvutiwa na naniliu yake nitamu sana,napenda sana kila kitu kwake ,mi hela si kitu kwangu nimezishika toka miaka 17 ,sio kitu sana kwangu,mi bwana nampenda sana huyu hubby wangu sijui kwa nini kwakweli ana jicho,**** la uchokozi,kwikwikwikwikwi ngoja nienda nikampe mambo kwanza narudi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom