nina ban 4 tayari. Acha utoto ,nimejiunga jamii forum 2008 kipindi hko niko chuo kikuu mwaka wa 4
My husband his waist and wallet
Duh!! Mnapenda sana pesa nyie wadada!!His face n tallness but not as attractive as his wallet!!! lol!
Humu ndani watoto siku hiz wamejaa sana! Hapo kaandika 2008 anajiona mkuubwa!!Kumbe wewe ndo mtoto? 2008 bado unakremisha majibu ya ue? Hahahaha. Aisee!
His brain. Big enough to understand me.
Humu ndani watoto siku hiz wamejaa sana! Hapo kaandika 2008 anajiona mkuubwa!!
His face n tallness but not as attractive as his wallet!!! lol!
Humu ndani watoto siku hiz wamejaa sana! Hapo kaandika 2008 anajiona mkuubwa!!
unatekwa na 'brain' ya mtu pia??
I thought i am du.mb for a minute.
Waoooh! Kesho mchana nitakupitia twende kula chips za kwa eddo then hapo nitakuambia kitua ambacho ni most attractive kwako!!your eyes, ooohh gosh!
Nikiyaona napoteza maneno.
your eyes, ooohh gosh!
Nikiyaona napoteza maneno.
Ondoa hiyo 'pia'. Hata kama hana naniliu kabisa ama ikiwa nusu ya kibamia, intelligence is the turn on for me aisee. I cant stand a dumb partner! And this once, im telling the truth, the whole truth and nothing but the truth.
Hahahaha...huyo ndugu yako siyo kwamba anampiga madongo mkewe indirectly??Eyes za rejao? Ama mateka?
Hivi unajua ukimpenda mtu unaona kila kitu chake kizuri? Nna ndugu yangu mkewe anajichubua, miguu myeusiii, uso kama taa! Mbele ya mkewe anaponda mdada anaejichubua. Huwa najishangalia kwenye glass kamguno kasisike. Ukipenda aisee, chongo inakuwa kengeza.
Source: baby wassira
Eyes za rejao? Ama mateka?

Hahahaha...huyo ndugu yako siyo kwamba anampiga madongo mkewe indirectly??
Halafu shem unaniharibia sasa...mwenzio Kongosho keshapenda macho, kafa kaoza..haambiliki!!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums