What is the most attractive Feature of your partner

Natalia na lara 1 always after man's wallet mmmmh haya mapenzi ya wallet duh

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
ndiooo,

lakini kwa sasa back to the topic

tunapenda sana brains tena za ku handle watu (hasa mpenzio) kuhandle issues
attitude yake kwa yanayomzunguka

ni muhimu sana

then muhimu kama hayo muonekano, yani unaoonekana na watu wote, na vile visivyoonekana hadharani, offcourse pesa ni muhimu sana. Ni kama oil kwenye mashine, inafanya kazi ngumu iwe rahisi au nyepesi zaidi

Hakuna jipya

we ni mtu wa wapi Haika?
 
sana tu i see,mi nnalo moja hilo la kimanyema nalipendaje!yani nikikosea ananipa makavu za uso,mwenyewe ananiitaga mwali wangu!yani wacha kabisa!simalizagi mwei bila kwenda kwake japo linijaze maujanja!
Mi huyo wa kwangu wa kimakua kachanganyika na mmakonde halafu anakaa mwananyamala...........we acha tu
 
Mi huyo wa kwangu wa kimakua kachanganyika na mmakonde halafu anakaa mwananyamala...........we acha tu

maujanja ya kibibi ya ukweli ajabu basi tu watu hwajui!ukimiksi na zako plus udot com kidogo mtoto wa kike na ukiwa mchungaji kidogo ka mi na Kaunga jana basi mtoto wa kike unakamilikajeeee!wapi gfsonwin,shosti wangu huyu nae humtoi kwa kuyapa big up mashangingi ya mujini!pana chezeya mwalimu akihaulisha maarifa!
 
Last edited by a moderator:
sana tu i see,mi nnalo moja hilo la kimanyema nalipendaje!yani nikikosea ananipa makavu za uso,mwenyewe ananiitaga mwali wangu!yani wacha kabisa!simalizagi mwei bila kwenda kwake japo linijaze maujanja!

sasa mwl mie nnao wawili watu wazima sana na watatu vijana, haya ni yale mashanging yaliyo kubuhu hapa town, yaani ambao kwa ujana wao usoishaga, wao wako kikaz zaid kila bosi mmpya wa sekta nyeti iwe polis, jeshi mkuu wa mkoa na wengneo lazima wakawaone usiniulize wanapata wapi guts...............

wao wanakwambia kabisa "si tulie sote tu na kaburi pia usaidiane kuchimba' ................... yaani ukikaa nao utayajua mambo ya hili jiji ukitaka kujua bosi fulan anatoka na nani na leo wako wapi basi waone hawa yaani sijui wanapata wapi hizi taarifa nawakikupenda yaani hata sisimiz akijisogeza kwa mumeo hapa tz atasulubiwa aisee..........
 
maujanja ya kibibi ya ukweli ajabu basi tu watu hwajui!ukimiksi na zako plus udot com kidogo mtoto wa kike na ukiwa mchungaji kidogo ka mi na Kaunga jana basi mtoto wa kike unakamilikajeeee!wapi gfsonwin,shosti wangu huyu nae humtoi kwa kuyapa big up mashangingi ya mujini!pana chezeya mwalimu akihaulisha maarifa!

shostito yaani mie nawamaind sana tu hawa watu yaani nakaa mbali sana na town ila ruti za magomeni mikumi sikosi japo mara mbili kwa mwez nikapate maujanja mapya aisee acha kabisa pana chezeya mtu mwenye guts bana yaani shangingi la jiji nalifagilia mbaya mno..........
 
watu oh uswahili!kakwambia nani wache wakae na uzungu wao siye tuchanganye mizungu ya kimanyema,kimagomeni mikumi,kihindi,kiwimbo ulio bora,kihispaniola,kibondei,kvyote vyote mradi tu akili mukichwa !hii mimama yenyewe inakwambi nyie mnayajua mapenzi nyie mnaruka ruka tuuu af oh mwajifanya wanawake wasomi,basi mule kwenye zile chambo zao zile ndo mtu unapopata mdudu wa sikio alipo na jinsi ya mtoa asiidhuru ngoma!hallula!
 
ndo hapo wajifanya mzungu halafu mumeo anatekwa na mashangngi ya kiswahili acha kabisa, wao kwao tumbi tumbi tumbi ya mgongo atiii
 
uyu makalio mwingine kifua, slimbody na yule wallet.. realtalk ni kujiamini tu, kila mtu na option yake kwakweli.
 
Hahaha, afu brainless wanaongeaga kwa sautiii! Ntamuacha hapo na hela zake wallahi. Unajua nguo unaweza kumvalisha na kumhonga designer stuff jata kama kafanana na baby wassira na akafaafaa akaonekana. Hata naniliu utamnywesha mkuyati. Ila brain haina booster atii!
ulishakutana na mtu ana mihela afu brainless??

Kama mko out unaweza mkimbia
huwa wanapenda onekana but kila analoongea linakuwa aggggrrrrrr

true, brain ni turn on ya nguvu sana, mengine ni nyongeza.
 
Back
Top Bottom