oooh no!!
mie sio wa style hio,
pesa zake hazitoshi, ila nimekubali matokeo, kuliko ningesacrifice qualities zingine, bora hio ya pesa kwani mie sio kilema, naweza na mie kufurukuta kimatumizi.
Muhimu kuliko yote, ni malezi aliyoyapata kuweza kuwa stable akiwa na mimi na mambo yangu, ni wachache wanaoweza.
Nakumbuka walikuwa wanamshangaa sana mwanzoni eti amethubutuje kunifuata hadi kunipata.
He is the STRENGHT in my family.
du!!
siwezi kutafuta kidumu hehehehe!!! hata kuwaza sitaki.
(I am lucky to have such a strong man in my life) nikiangalia wanaume wa siku hizi hata hicho kidumu ehehhheeeee, yani umenichekesha, nadhani ninadharau sana (not healthy at all)
lakini, mhhh
kidumu hapana,
Sitaki kumsifia huyu kaka, ila jamani mwenzenu alilelewa, namake kukaa na mtu kama mimi inataka suruali ikutoshe