zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
- Thread starter
- #41
Nimesoma kidogo tu mpaka form 3 Ila nashukuru walimu coz nimepata understanding kubwa kidogo kuzidi level ya elimu niliyonayozagarinojo,
Unaona ulivyo andika post yako vizuri? Ndio umuhimu wa shule sasa huo. Hivi ulishawahi ona wale wanaoandika kitu kama "Nimetumia miaka kama 13 nikiwa shule lakini mpaka leo sijui shule ipi kwa ajili gani".
Yaani huo uwezo wako wa kukaa na kupanga point kwamba shule haina matumizi, basi ndio matumizi yenyewe hayo!