What is school for? (Shule ni kwa ajili ya nini?)

Kwani kuna wasomi wangapi hawajahi anzisha theory
Wasomi gani hao?
Kutoka wapi?
Nipe majina yao.
Ninachokisemea mimi hapa licha ya kuwa amesoma lakini fikra ndo ilipelekea akaanzisha hiyo theory na wala si elimu yake
Kina Nani hao ambao hawajasoma wala kwenda shule na hawana elimu lakini wameanzisha theory kutokana na fikra zao?
Wataje.

Pia jibu maswali yangu toka post yangu ya kwanza.
 
Hata mimi ni mwanafunzi pia sasa nakuuliza mwanafunzi mwezangu.

Nini kimekupeleka shule?
Wewe umezaliwa uingereza?
Umejuaje mfumo wa elimu haujawahi kubadirika?
Kina nani hao kutoka afrika ambao ni smart genuine?

1*Huo mfano uliotoa kama ni kweli, basi huyo mwalimu hajitambui, hivyo hapo anazalisha wanafunzi wasiojitambua pia sababu anawafundisha kukariri.

2*Na hao ambao wamesoma alafu wanaishia nyumbani nao hawajitambui kwani nao hawajui kwanini wamekwenda shule sababu walimu wao waliwafundisha kukariri pia.

3*wamefundishwa kujiajiri lakini wanashindwa kujiajiri sabau hao waliowafundisha kujiajiri walikaririshwa hivyo hawajitambui.

(1 imezalisha 2-3. ni kawaida ya wa afrika/watu weusi kutojitambua hata uwapeleke wakasome USA, i.e Black Americans) tusisingizie mfumo wa elimu ya Tanzania.

Afrika sidhani kama Kuna mtu ana akili au sass hivi tungekuwa tunatishiana mabavu na marekani.. Wala wakoloni wasingetugusa au kuamini maji yanazuia chuma kidogo chembamba kinachojongea kwa spidi zaidi ya sauti..

Kwa mtu mwenye malengo na anayetambua kwanini ameenda shule lazima ajue umuhimu na kwanini kuna shule..

Kuna watu wanataka kuwa scientist.

Kuna watu wanataka kuwa wafanya biashara...

Kuna watu wanataka kuwa innovators...

Na Kuna watu wanaotaka kuajiriwa pekee, hawa ndio kundi kuu kati ya wasiojua kwanini wamekwenda shule, anachojua shule ni kwa ajili ya kupata ajira tu...

Hivyo hukariri/hukaririshwa na walimu/wenyewe kisha wapate alama kubwa wakaajiriwe...

Ili ujue umuhimu wake itabidi ujue madhara na faida chache za kawaida kuhusu shule, hii inatoka kwa mtu anayejua kwanini amekwenda shule..

MADHARA YA KUKOSA SHULE.

(Kwa wanaojua kwanini wamekwenda shule/wenye malengo)

Bila elimu ya kueleweka basi tegemea uishi Tanzania pekee, kwani hakuna nchi/mtu atakayewekeza pesa zake kwa mtu ambaye hakwenda shule.

Hata kama wewe ni mbunifu basi hutoweza kuupigia debe ubunifu wako ili usikike, hata ukisikika muwekezaji hatokuamini Wala hatojaribu kuweka pesa kwa mtu aliyekimbia shule.

Dunia ya leo bila ya elimu ya kueleweka basi usitegemee kuwa kama bakhressa aliyeacha shule miaka ya 70-80.

UMUHIMU WA SHULE

(Kwa wenye malengo na wanaojua kwanini walikwenda shule)

Ukiwa na elimu unakuawa unajiamini tofauti na yule asiye na elimu...

Shule inakukutanisha na watu mbalimbali wenye uwezo tofauti na mawazo tofauti na wewe.

Shule inapanua uwezo wako wa kufikiri kwa kulisha ubongo wako vitu vipya kila siku. Hivyo utafika mbali zaidi...

Shule inaongeza kile ulichonacho na kukufanya uwe mbobezi...

Hayo ni machache sana ambayo watu ambao hawakwenda shule/hajui kwanini amekwenda shule/hana malengo kamwe hawatojua kwanini kuna shule au nini umuhimu wa shule.
....

Kama unamfahamu mtu anaitwa Elon musk anapanga kupeleka watu mars wakaishi, hiyo yote sababu ni shule na alijua alikwenda kufanya nini shule na si kingine... Au sasa hivi angekuwa South Africa anabangaiza huku ndoto na idea zake zikififia kwa kwa kukosa shule. Kumbuka elon sio mwafrika bali ni mzungu aliyezaliwa Africa.

HIVYO HITIMISHO NI: UMUHIMU WA KUWEPO KWA SHULE UNATAMBULIKA KWA WANAOJIELEWA/KUJITAMBUA NA WENYE MALENGO TU.
Nimekwenda shule kwasababu nilikuwa sijajua negative effects za shule Ila baada ya kujua ndo nimeacha
 
Nimejua mfumo wa elimu haujabadilika kwa kufanya survey kutoka kwa watu waliosoma shule enzi za zamani nikalinganisha na sasa mfumo ni ule ule?
 
Ancient Egyptians ndo walikuwa wa kwanza ku invent various sciences and technologies in early 1000BC
Invention zao ntakutajia hapa baadhi
1.Mathematics
2.Writings
3.Astronomical Calendar
4.Architecture
5.Pottery
6.Building designs
 
Sasa kwanini sasa hivi ni masikini kama wao ni smart genuine?
Hiyo history ameandika nani?
Egyptians wote walikuwa wavumbuzi?

kama Egyptians ndio only smart genuine kutoka Africa. Una uhakika gani kwamba wewe ni smart enough kutambua "kwanini kuna shule"?

Nimejua mfumo wa elimu haujabadilika kwa kufanya survey kutoka kwa watu waliosoma shule enzi za zamani nikalinganisha na sasa mfumo ni ule ule?
Zama gani?
Watu gani hao waliosoma Zama hizo?
Mfumo wa elimu kutoka wapi?
Nimekwenda shule kwasababu nilikuwa sijajua negative effects za shule Ila baada ya kujua ndo nimeacha
Hujajibu swali.
Nini kimekupeleka shule kabla hujajua negative effects za shule?

Umeacha swali moja kwenye post#22.

Bado hujajibu post namba.
#24
#81
#82

Jibu.
 
Sasa kwanini sasa hivi ni masikini kama wao ni smart genuine?
Hiyo history ameandika nani?
Egyptians wote walikuwa wavumbuzi?

kama Egyptians ndio only smart genuine kutoka Africa. Una uhakika gani kwamba wewe ni smart enough kutambua "kwanini kuna shule"?

Zama gani?
Watu gani hao waliosoma Zama hizo?
Mfumo wa elimu kutoka wapi?

Hujajibu swali.
Nini kimekupeleka kabla hujajua negative effects za shule?
Ni msukumo wa wazazi haikuwa plan yangu
 
Ukiwa na maendeleo unaweza kupata elimu kwa fedha zako hata uwe mzee.
Ila hata uwe na elimu unaweza kukosa maendeleo mpaka unazeeka
 
Unapataje maendeleo bila kuwa na fedha kwanza?
Fedha zako mwenyewe umezitoa wapi bila kuwa na maendeleo?
Nani hana maendeleo lakini fedha anazo?
Nani ana fedha lakini hana maendeleo.

Maendeleo ni nini?.

Still hujajibu Yale maswali na pia umeenda nje ya mada.

Jibu yale maswali.
 
Ila wewe unapinga hoja au unaunga mkono hoja.
Mi sijasoma sana nina ka elimu kidogo tu ka form 3
Kwa vyovyote vile utashinda endapo maswali yako sitayajibu
 
School for thoughts 🤣🤣🤣

Katika kusoma kwangu ujasiriamali nilipofikaga hili eneo kimsingi nilitoka kapa 😁😁😁 mpaka leo sijawaji kuzielewa hizo school of thoughts!!!
 
Ila wewe unapinga hoja au unaunga mkono hoja
Kama umeshindwa kutambua kama mimi napinga au naunga mkono hoja.
Una uhakika gani wa kuweza kuelewa pale nitakapojibu, jibu ambalo nimeshalijibu tayari kuhusu "kwanini Kuna shule"?
Mi sijasoma sana nina ka elimu kidogo tu ka form 3
Nini point yako hapa?
Alafu kwani nani amesoma sana hapa? Mimi ni mwanafunzi wa form2 mwakani angalia profile yangu ya jf.

Kwa vyovyote vile utashinda endapo maswali yako sitayajibu
Nani amesema tunashindana
Au wewe umeanzisha uzi ili kushindana?
Hii ni debate na sio mashindano.

Hii aliandika nani?
It seems like the thread is so critical that I got no back up and feedback where are the intellectuals and elites to say something
emoji1781.png

Jibu Yale maswali kwa kutumia hoja na si kienyeji. au unaanzisha mada ila huwezi kutetea hoja zako?

Jibu yale maswali.
 
Back
Top Bottom