What is school for? (Shule ni kwa ajili ya nini?)

Hata mimi ni mwanafunzi pia sasa nakuuliza mwanafunzi mwezangu.

Nini kimekupeleka shule?
Wewe umezaliwa uingereza?
Umejuaje mfumo wa elimu haujawahi kubadirika?
Kina nani hao kutoka afrika ambao ni smart genuine?

1*Huo mfano uliotoa kama ni kweli, basi huyo mwalimu hajitambui, hivyo hapo anazalisha wanafunzi wasiojitambua pia sababu anawafundisha kukariri.

2*Na hao ambao wamesoma alafu wanaishia nyumbani nao hawajitambui kwani nao hawajui kwanini wamekwenda shule sababu walimu wao waliwafundisha kukariri pia.

3*wamefundishwa kujiajiri lakini wanashindwa kujiajiri sabau hao waliowafundisha kujiajiri walikaririshwa hivyo hawajitambui.

(1 imezalisha 2-3. ni kawaida ya wa afrika/watu weusi kutojitambua hata uwapeleke wakasome USA, i.e Black Americans) tusisingizie mfumo wa elimu ya Tanzania.

Afrika sidhani kama Kuna mtu ana akili au sass hivi tungekuwa tunatishiana mabavu na marekani.. Wala wakoloni wasingetugusa au kuamini maji yanazuia chuma kidogo chembamba kinachojongea kwa spidi zaidi ya sauti..

Kwa mtu mwenye malengo na anayetambua kwanini ameenda shule lazima ajue umuhimu na kwanini kuna shule..

Kuna watu wanataka kuwa scientist.

Kuna watu wanataka kuwa wafanya biashara...

Kuna watu wanataka kuwa innovators...

Na Kuna watu wanaotaka kuajiriwa pekee, hawa ndio kundi kuu kati ya wasiojua kwanini wamekwenda shule, anachojua shule ni kwa ajili ya kupata ajira tu...

Hivyo hukariri/hukaririshwa na walimu/wenyewe kisha wapate alama kubwa wakaajiriwe...

Ili ujue umuhimu wake itabidi ujue madhara na faida chache za kawaida kuhusu shule, hii inatoka kwa mtu anayejua kwanini amekwenda shule..

MADHARA YA KUKOSA SHULE.

(Kwa wanaojua kwanini wamekwenda shule/wenye malengo)

Bila elimu ya kueleweka basi tegemea uishi Tanzania pekee, kwani hakuna nchi/mtu atakayewekeza pesa zake kwa mtu ambaye hakwenda shule.

Hata kama wewe ni mbunifu basi hutoweza kuupigia debe ubunifu wako ili usikike, hata ukisikika muwekezaji hatokuamini Wala hatojaribu kuweka pesa kwa mtu aliyekimbia shule.

Dunia ya leo bila ya elimu ya kueleweka basi usitegemee kuwa kama bakhressa aliyeacha shule miaka ya 70-80.

UMUHIMU WA SHULE

(Kwa wenye malengo na wanaojua kwanini walikwenda shule)

Ukiwa na elimu unakuawa unajiamini tofauti na yule asiye na elimu...

Shule inakukutanisha na watu mbalimbali wenye uwezo tofauti na mawazo tofauti na wewe.

Shule inapanua uwezo wako wa kufikiri kwa kulisha ubongo wako vitu vipya kila siku. Hivyo utafika mbali zaidi...

Shule inaongeza kile ulichonacho na kukufanya uwe mbobezi...

Hayo ni machache sana ambayo watu ambao hawakwenda shule/hajui kwanini amekwenda shule/hana malengo kamwe hawatojua kwanini kuna shule au nini umuhimu wa shule.
....

Kama unamfahamu mtu anaitwa Elon musk anapanga kupeleka watu mars wakaishi, hiyo yote sababu ni shule na alijua alikwenda kufanya nini shule na si kingine... Au sasa hivi angekuwa South Africa anabangaiza huku ndoto na idea zake zikififia kwa kwa kukosa shule. Kumbuka elon sio mwafrika bali ni mzungu aliyezaliwa Africa.

HIVYO HITIMISHO NI: UMUHIMU WA KUWEPO KWA SHULE UNATAMBULIKA KWA WANAOJIELEWA/KUJITAMBUA NA WENYE MALENGO TU.
 
Je unafikiri aliyegundua shule yeye alisoma shule gani?

Je kama shule unakwenda kupata maarifa na elimu kwanini unakuwa guided to study under formulated curriculum and slyllabus..?

Shule haiongezi akili na kama akili unayo unakwenda shule kufanya nini?

Imagination is better than knowledge

Ubunifu unahitaji akili sio shule wala elimu ..!

Kwanini mtihani mmoja ambao umetungwa katika baadhi ya topics uoneshe elimu ya MTU kwa mwaka mzima??

Nilitegemea kuona paper imeandikwa
Elezea ulichoelewa kwenye topic flani mwanafunzi ajielezee kuliko kumlinda na multiple choice questions au choose the correct answer!?
 
unafikiri aliyegundua shule yeye alisoma shule gani?
Wewe unaijua historia kuhusu mfumo wa elimu?
Je kama shule unakwenda kupata maarifa na elimu kwanini unakuwa guided to study under formulated curriculum and slyllabus..?
Definition ya kupata maarifa na elimu kwako ni ipi?
Shule haiongezi akili na kama akili unayo unakwenda shule kufanya nini?
Akili ni nini? Na unajuaje huyu ana akili na huyu hana akili?
Ubunifu unahitaji akili sio shule wala elimu ..!
Ubunifu wa aina gani?
Na kwako definition ya ubunifu ni ip?
Kwanini mtihani mmoja ambao umetungwa katika baadhi ya topics uoneshe elimu ya MTU kwa mwaka mzima??
Shule ulienda kufanya nini?
Nilitegemea kuona paper imeandikwa
Elezea ulichoelewa kwenye topic flani mwanafunzi ajielezee kuliko kumlinda na multiple choice questions au choose the correct answer!?
Unadhani kwanini wafanye hivyo?
Imagination is better than knowledge
What's imagination and what's knowledge?
And then prove that imagination is better than knowledge.
 
Habari ndugu zangu wa JF. I'm Zagarino.

Nimetumia zaidi ya miaka 13 nikiwa shule lakini mpaka leo sijawahi kujua shule ipo kwa ajili gani.

Hii ni jinsi mfumo wa elimu ya Tanzania ulivyo.

Mwalimu: Students, can anyone tell me the definition of a machine?

Student 1: Yes, sir a machine is any device that simplifies work.

Mwalimu: Oooh! You're not correct that's not the right definition

Student 2: I can define it sir worry not machine is any combination of bodies so connected that their relative motions are constraint and by which means force and motion can be transmitted and modified as a screw in its nut or a lever range turns about a fulcrum or a pulley by its pivot.

Mwalimu: You're absolutely right congratulations other students if you wanna score better make sure you define like student 2, otherwise you'll keep on failing.

Sometimes wapo waliomaliza chuo but they just have their certificates to sit at home with.

Wanafunzi wanafundishwa ways and self employment concepts but hawawezi kuzitumia kujiajiri. Shule imekuwa sehemu ya kukusanya A tu wala sio tena sehemu ya wanafunzi kupata maarifa na uelewa. Mwanafunzi anapimwa uelewa kupitia mitihani tu.
Mtihani ambao umetungwa kwenye basis ya baadhi ya topics. Je? hiyo inatosha kupima uelewa?

Shule haziwapi wanafunzi nafasi ya kuwa free in decision making lakini inawatrain kufuata maelekezo.

Kwa mfano kunyoosha mkono unapotaka kujibu swali na kuomba ruhusa pale wanapohitaji kwenda chooni.

Lakini Shule ni mfumo usiobadilika tofauti na ukuaji wa Teknolojia katika mifumo mengine. Kuna tofauti kati ya gari ya miaka 50 iliyopita na gari ya sasa. Simu ya miaka 50 Iliyopita na ya sasa.

Lakini kwa shule na elimu mfumo wake haujabadilika miaka Yote.

"Some people are good at scoring better and some are smart genuine"

I'm allowing intellectuals to criticize in their own way of understanding..
But its for the betterment of me and other members indeed.!

(Nawaruhusu wasomi na wadadisi kukosoa kwa hoja kwa manufaa yang u na wengine Kama Mimi)
Dakitari bingwa wa upasuaji,Ben Carson,bila kwenda shule,huo ujuzi wake angeupata wapi?kwa ndoto,au kupiga ramli?
Ni dakitari wa Kwanza kutenganisha mapacha walioungana!bila shule,huo ujuzi angeupata?
Kabla ya kugunduliwa shule,watu walikuwa na akili,ufahamu,wakazalisha utaaalamu,wakaandika machapisho,wengine wakasoma,wakaboresha,mpaka tumefika leo,
Akina Galileo,Isaack newton,Michael faraday,Herrtz,
 
Manufaa ya shule
Unajifunza kuishi na jamii
Unajifunza kuheshimu wanaokuzunguka
Unajifunza nidhamu
Unajifunza kufikiria
Unajifunza ukakamavu na mapambano
 
School has taught me to like and be accompanied by smart friends but it never taught me to teach ignorance friends and feel safe among them..

School has created a complexity of superiority in my mind that whenever I would top in exams I felt like I'm the smartest person in my class...
The teachers would say"hey be like him he always gets it right,what's wrong with you other students

School used to depreciate my fellow students by considering them slow learners and others fast learners...
 
Jibu yale maswali pale juu.
 
Wewe unaijua historia kuhusu mfumo wa elimu?

Definition ya kupata maarifa na elimu kwako ni ipi?

Akili ni nini? Na unajuaje huyu ana akili na huyu hana akili?

Ubunifu wa aina gani?
Na kwako definition ya ubunifu ni ip?

Shule ulienda kufanya nini?

Unadhani kwanini wafanye hivyo?

What's imagination and what's knowledge?
And then prove it imagination is better than knowledge.
Historia ya elimu ni ndefu sana but nimebase kwenye formal education zaidi.
Hakuna anayejua mpka Leo alianzisha shule ya kwanza
But nipe muda ntakuja na jibu critical kuhusu muanzilishi wa elimu
 
Akili kila mtu anazo lakini kigezo tunachotumia kusema mtu Ana akili kwa hapa Tz ni kiwango chake cha elimu na ufaulu
Kwa mfano nilipokuwa shule nimewahi kutop 1 position kwenye mitihani
Rafiki walikuwa wakiniambia una akili Sana
 
Wewe unaijua historia kuhusu mfumo wa elimu?

Definition ya kupata maarifa na elimu kwako ni ipi?

Akili ni nini? Na unajuaje huyu ana akili na huyu hana akili?

Ubunifu wa aina gani?
Na kwako definition ya ubunifu ni ip?

Shule ulienda kufanya nini?

Unadhani kwanini wafanye hivyo?

What's imagination and what's knowledge?
And then prove it imagination is better than knowledge.
Shule (kutoka Kijerumani: Schule; nchini Tanzania na Kenya, huko Zanzibar huitwa skuli kutoka Kiingereza "school") ni taasisiinayoongozwa na mfumo maalumu ambayo watu hufunzwa habari za elimu. Pia ni jina la majengo yake. (Lifted from Wikipedia)

Shule Ni seheumu, au mfumo unaotumika kukufikishia taarifa(information)/habari za kukuelimisha.

Akili hupimwa kwa namna unavyotumia taarifa hizo kufanya maamuzi mbalimbali kwenye harakati za kuyakabili maisha.

Kwann unaenda shule!? Well, Ni kupokea taarifa au habari za kielimu in a well tested and proven manner.

Lengo la kwenda shule linatofautiana Kati ya mtu na mtu na lengo la kufundisha au kutoa elimu linatofautiana toka Taasisi moja mpaka Taasisi nyingine.

Toka maisha ya awali kabisa mfumo maalumu wa kurithishana maarifa kutoka kizazi mpaka kizazi ulitumika kutunza jitihada zilizopatikana na kusaidia jamii kukua na kuendelea mbele.

Kuna Taasisi zinatoa elimu kuinfluence choice..kwa mtindo ambao unawapa maslahi. Kuna zinatoa elimu kupigia chapuo mrengo fulani!

Kuna watu wanatafuta elimu ili kuelimika (enlightened) Kuna wale wanataka status..kunawanaotaka mfumo uwatambue ili wapate vyeo au kazi.. Kuna wanaotaka mambo chungu mbovu.

Kwa kifupi elimu lengo lake ni kukupa taarifa tu na kukupa uwezo wa kuzichakata. Na akili ni matumizi ya huo mchakato maishani na hiyo ni changamoto for everyone to figure it out on their own.

Sasa tupate kusikia kutoka kwako nasi tujifunze.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Well said,Ila elimu yangu ya Form 3 Ila kuna watu wananiambia soma bado mdogo
Sasa nikajiuliza hivi level ya mwisho kwa msomi hapa Tz baada ya P.H.D ni IPI na walisema elimu haina mwisho...

Tunamuajiri mtu aliyesomea biashara na hajawahi kuifanya kuwafundisha wafanyabiashara kuendeleza biashara zao..Japo wao wameifanya practical kwa miaka 10 na wana experience lakini yeye ameisoma theroritcal kwa miaka kumi
 
Kama ilivyosemwa.. mwalimu yeye anachojua ni kukufikishia taarifa. Na kuzijengea mantiki. Akili yako ya uelewa ndio itakusaidia kwenye matumizi ya taarifa hizo. Mfumo unakupima kama umepata taarifa hizo kwa kiwango cha kuridisha na kama unaweza kuzitumia taarifa hizo kufanya maamuzi kwenye mazingira controlled.(practical)

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukoloni haukuisha... Ulibadilika mfumo.

School plays a vital role in ensuring that the masses do follow the Masters wishes obligingly.

Nilisema hapo mwanzo.. ukitazama production line ya kiwanda.. utagundua Haina tofauti na shule periodt..

Na ukikubali unachoambiwa tuu shuleni.. utajikuta msukule.. locked up in a master's way of thinking. Na kwa sehemu kubwa shule Duniani ndicho zinaaim kufanikisha. So you can a depend on the corporate run lifestyle.

So again what is school!? That's for you to figure it out.. you go in to be given a certification, ?then thats it for you.. you wanna acquire knowledge and think freely as a free libereted man!? It's all up to you. Make it what you want it to be.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
You're correct.
 
Sasa ndugu zangu Aliyetengeneza ndege kwa mfano tunaweza sema ametumia akili au ametumia elimu?

Ndio maana nikasema imagination is better than knowledge.

Isaac Newton alikaa chini ya mti Wa Apple
Apple likamuangukia!

Alifikiri(Imagination)kwanini tunda hili lisiende juu moja kwa moja?

Maswali aliyojiuliza ndiyo akaanza kudadisi kuhusu forces na akagundua kuhusu forces
Lakini watu Kama Charles Darwin hawakuwa na elimu wamefikiria na kuja na theory ambazo mpaka leo zinaisumbua dunia?
Je walikuwa na elimu au ni fikra zao tu?
 
Hata mimi ni mwanafunzi pia sasa nakuuliza mwanafunzi mwezangu.

Nini kimekupeleka shule?
Wewe umezaliwa uingereza?
Umejuaje mfumo wa elimu haujawahi kubadirika?
Kina nani hao kutoka afrika ambao ni smart genuine?

1*Huo mfano uliotoa kama ni kweli, basi huyo mwalimu hajitambui, hivyo hapo anazalisha wanafunzi wasiojitambua pia sababu anawafundisha kukariri.

2*Na hao ambao wamesoma alafu wanaishia nyumbani nao hawajitambui kwani nao hawajui kwanini wamekwenda shule sababu walimu wao waliwafundisha kukariri pia.

3*wamefundishwa kujiajiri lakini wanashindwa kujiajiri sabau hao waliowafundisha kujiajiri walikaririshwa hivyo hawajitambui.

(1 imezalisha 2-3. ni kawaida ya wa afrika/watu weusi kutojitambua hata uwapeleke wakasome USA, i.e Black Americans) tusisingizie mfumo wa elimu ya Tanzania.

Afrika sidhani kama Kuna mtu ana akili au sass hivi tungekuwa tunatishiana mabavu na marekani.. Wala wakoloni wasingetugusa au kuamini maji yanazuia chuma kidogo chembamba kinachojongea kwa spidi zaidi ya sauti..

Kwa mtu mwenye malengo na anayetambua kwanini ameenda shule lazima ajue umuhimu na kwanini kuna shule..

Kuna watu wanataka kuwa scientist.

Kuna watu wanataka kuwa wafanya biashara...

Kuna watu wanataka kuwa innovators...

Na Kuna watu wanaotaka kuajiriwa pekee, hawa ndio kundi kuu kati ya wasiojua kwanini wamekwenda shule, anachojua shule ni kwa ajili ya kupata ajira tu...

Hivyo hukariri/hukaririshwa na walimu/wenyewe kisha wapate alama kubwa wakaajiriwe...

Ili ujue umuhimu wake itabidi ujue madhara na faida chache za kawaida kuhusu shule, hii inatoka kwa mtu anayejua kwanini amekwenda shule..

MADHARA YA KUKOSA SHULE.

(Kwa wanaojua kwanini wamekwenda shule/wenye malengo)

Bila elimu ya kueleweka basi tegemea uishi Tanzania pekee, kwani hakuna nchi/mtu atakayewekeza pesa zake kwa mtu ambaye hakwenda shule.

Hata kama wewe ni mbunifu basi hutoweza kuupigia debe ubunifu wako ili usikike, hata ukisikika muwekezaji hatokuamini Wala hatojaribu kuweka pesa kwa mtu aliyekimbia shule.

Dunia ya leo bila ya elimu ya kueleweka basi usitegemee kuwa kama bakhressa aliyeacha shule miaka ya 70-80.

UMUHIMU WA SHULE

(Kwa wenye malengo na wanaojua kwanini walikwenda shule)

Ukiwa na elimu unakuawa unajiamini tofauti na yule asiye na elimu...

Shule inakukutanisha na watu mbalimbali wenye uwezo tofauti na mawazo tofauti na wewe.

Shule inapanua uwezo wako wa kufikiri kwa kulisha ubongo wako vitu vipya kila siku. Hivyo utafika mbali zaidi...

Shule inaongeza kile ulichonacho na kukufanya uwe mbobezi...

Hayo ni machache sana ambayo watu ambao hawakwenda shule/hajui kwanini amekwenda shule/hana malengo kamwe hawatojua kwanini kuna shule au nini umuhimu wa shule.
....

Kama unamfahamu mtu anaitwa Elon musk anapanga kupeleka watu mars wakaishi, hiyo yote sababu ni shule na alijua alikwenda kufanya nini shule na si kingine... Au sasa hivi angekuwa South Africa anabangaiza huku ndoto na idea zake zikififia kwa kwa kukosa shule. Kumbuka elon sio mwafrika bali ni mzungu aliyezaliwa Africa.

HIVYO HITIMISHO NI: UMUHIMU WA KUWEPO KWA SHULE UNATAMBULIKA KWA WANAOJIELEWA/KUJITAMBUA NA WENYE MALENGO TU.
Mkuu umeandika pumba kweli kwli.? Wew shuleni hukukariri? Unataka kutuambia shuleni kwenu kulikuwa kuna machine, blast furnance,kuna x-ray machine nk.!!!!! Wewe ni muongo sana.
Kama ndio tupe ushahidi wa innovation uliyofanya.
Elon musk amesotea elimu yake kivyake na amelazimika kusoma madigrii tofauti tofauti ili asuit to his innovation,hii innaonesha Ombwe la mfumo wa elimu wa dunia ulivyo wa hovyo.If you want to innovate you have to design your own pass of education otherwise you will be a container of useless materials.
Elimu ya Tanzania na Afrika ni ' bogus bogus bogus'.Mtu anasoma mambo shule ya msingi kisha anakuja kuyarudia tena sekondari,high school na hata chuo kikuu yaleyale, huu upotevu wa muda wa bure( we don't even know the value of time in relation to life span !!).
Wewe ni kati ya watu wanaoendelea kuidumaza Afrika kwa kuipongeza mifumo ya hovyo.
Afrika haina cha maana inachofanya ambacho ni mfano kwa dunia, hivi hapa mijitu inatoa macho inasubiri kinga ya korona iletwe kutoka kwa watu wanaojitambua huko.
Kama umebahatika kuwa bosi kitambi meneja basi usihalalishe kuwa mifumo ni bora kwa kila anaepitia.Kazi ya elimu ni kuwafanya watu wajitambue na kama hio elimu haifanyi hivyo hio n takataka tu(There must be alternative education or path).
 
Tunasoma history Kama somo lakini historia hiyo ya kina Mkwawa yote imeandikwa na wazungu..

Mwalimu anamchapa mwanafunzi kisa ameongea kingereza kwenye shule ya English medium mwalimu huyo huyo anamchapa mwanafunzi kwa kufeli somo la kiswahili dah!

Tunaambiwa tuwe wazalendo kwa kukiendeleza kiswahili wakati mfumo wetu wa elimu umebase kwenye kingereza.

Watu wanasoma kupata madegree ya electrical engineering wanajiita wasomi hata kuunda kifaa chochote cha umeme hawawezi
Watu wameishia la saba wanatengenza vitu mbalimbali kwa kubuni Ila wanaonekana hawajafanya chochote..

Unaajiriwa kwa kuonesha cheti wakati wapo wenye uzoefu kwenye tasnia kama yako Ila hawaajiriwi
 
Sasa ndugu zangu Aliyetengeneza ndege kwa mfano tunaweza sema ametumia akili au ametumia elimu?

Ndio maana nikasema imagination is better than knowledge.

Isaac Newton alikaa chini ya mti Wa Apple
Apple likamuangukia!

Alifikiri(Imagination)kwanini tunda hili lisiende juu moja kwa moja?

Maswali aliyojiuliza ndiyo akaanza kudadisi kuhusu forces na akagundua kuhusu forces
Lakini watu Kama Charles Darwin hawakuwa na elimu wamefikiria na kuja na theory ambazo mpaka leo zinaisumbua dunia?
Je walikuwa na elimu au ni fikra zao tu?
Ndugu yangu elimu ni dhana pana sana na humu watu wanaeleza kwa mlengo mmoja tu ambao ni shule.
Mojawapo ya maana ya elimu ni hii:
Skills,knowledge and experience.Kwa rafsiri yangu ni: Ujuzi,maarifa na uzoefu.Ambavyo vyote vinaweza patikana katika mazingira tofauti.Mwisho wa siku hayo humjenga awe awe ana
1.Competence
2.Confidence.
Sasa hapa ndipo tunapotofautiana kati ya nchi na nchi ktk kuwajenga wanafunzi wetu waweze kupata hayo mambo( Mitaala).
Newton alifundishwa kudadisi 'curiosity' sisi Tanzania haipo hio ndio maana watu hawavumbui kitu.Mtu akimaliza shule ni ukasuku tu mpaka anazeeka.
 
Back
Top Bottom