What is school for? (Shule ni kwa ajili ya nini?)

Dakitari bingwa wa upasuaji,Ben Carson,bila kwenda shule,huo ujuzi wake angeupata wapi?kwa ndoto,au kupiga ramli?
Ni dakitari wa Kwanza kutenganisha mapacha walioungana!bila shule,huo ujuzi angeupata?
Kabla ya kugunduliwa shule,watu walikuwa na akili,ufahamu,wakazalisha utaaalamu,wakaandika machapisho,wengine wakasoma,wakaboresha,mpaka tumefika leo,
Akina Galileo,Isaack newton,Michael faraday,Herrtz,
Sasa kama carson aliweza zile operation kwa kusoma alieandika aliyoyasoma carson si angekuwa ndo bingwa ilikuwaje carson akawa ndo mtu wa kwanza kutenganisha kama ni zao la kusoma si alietangulia kuandika yale alosoma carson si ndo angekuwa wa kwanza!
 
Waandishi wa biblia wao nao walikuwa manabii sijui nani aliwafundisha kusoma na kuandika
 
Kuandika ni manifestation of thought tu. Na namna tu ya kutunza kumbukumbu.

Books are only as good as what is written.. and what is written is only as good as the thoughts and the mind of who wrote it.

I believe the fundamental part of learning is curiosity, and commitment to search for the truth(knowledge).

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dah!ETC(End of Thinking Capacity)
Kama hapo ndio mwisho wako wa kufikiri
Unamaanisha umekubali
Kwamba swali lako na hoja zako hazina mashiko?
Some people are good at scoring better and some are smart genuine
Unakubali kwamba wewe sio smart genuine na hauna tofauti na wale wanao score vizuri kwenye mitihani?

Unakubali Kama shule inaongeza akili?

Unakubali kwamba yote uliyoandika hayana mashiko?
 
Sasa kama carson aliweza zile operation kwa kusoma alieandika aliyoyasoma carson si angekuwa ndo bingwa ilikuwaje carson akawa ndo mtu wa kwanza kutenganisha kama ni zao la kusoma si alietangulia kuandika yale alosoma carson si ndo angekuwa wa kwanza!
Yeye ameboresha tu. Soma vizuri hiyo post.
 
Kama hapo ndio mwisho wako wa kufikiri
Unamaanisha umekubali
Kwamba swali lako na hoja zako hazina mashiko?

Unakubali kwamba wewe sio smart genuine na hauna tofauti na wale wanao score vizuri kwenye mitihani?

Unakubali Kama shule inaongeza akili?

Unakubali kwamba yote uliyoandika hayana mashiko?
Itanibidi nikubali
Kwasababu hata japokuwa nimeishia form 3 najua kuongea kingereza na kuandika pia credit to school.

Naweza kupanga hoja na kuelezea mawazo yangu credit to school

Uwezo wangu wa kufikiri nilizaliwa nao
Ila shule imeongezea uwezo wa Ku memorize na kuclaim credit to school
 
Naweza kupanga hoja na kuelezea mawazo yangu
Kumbuka Umeshindwa kujibu maswali yangu kwa hoja.

Pia mara ya kwanza nilipokuuliza akili ni nini ukasema
Nashindwa kupata definition ya akili mkuu!naweza ku imagine akili ni nini but kuielezea ni ngumu
Ina maana huna uhakika na kauli zako?

Itanibidi nikubali
Kwasababu hata japokuwa nimeishia form 3 najua kuongea kingereza na kuandika pia credit to school.

Uwezo wangu wa kufikiri nilizaliwa nao
Ila shule imeongezea uwezo wa Ku memorize na kuclaim credit to school
Sasa kwanini uliuliza "SHULE NI KWA AJIRI YA NINI?
Ina maana huna uhakika na ulichouliza kama unakijua ama hukijui. Kama jambo dogo tu huna uhakika
Sasa unajuaje kama unao uhakika kwamba kuacha shule uko sahihi?
Uwezo wangu wa kufikiri nilizaliwa nao
Nilivyokwambia utetee hoja zako ukasema
Dah!ETC(End of Thinking Capacity)
Ina maana uwezo wako wa kufikiri hautoshi?
Kama uwezo wako wa kufikiri hautoshi kuchanganua hoja nyepesi una uhakika gani wa kuweza kutatua changamoto ngumu za mazingira?

Kwa definition yako ya akili
Akili ni uwezo wa mtu kutafakari,kuelewa na kudadavua mambo kufanya maamuzi sahihi lakini pia kuendana na maisha katika kutatua matatizo yanayomkabili
Umeshindwa kudadavua hoja zangu sababu alafu ukasema
Dah!ETC(End of Thinking Capacity)
Ina maana wewe akili zako hazitoshi?
 
Kumbuka Umeshindwa kujibu maswali yangu kwa hoja.

Pia mara ya kwanza nilipokuuliza akili ni nini ukasema

Ina maana huna uhakika na kauli zako?

Sasa kwanini uliuliza "SHULE NI KWA AJIRI YA NINI?
Ina maana huna uhakika na ulichouliza kama unakijua ama hukijui. Kama jambo dogo tu huna uhakika
Sasa unajuaje kama unao uhakika kwamba kuacha shule uko sahihi?

Nilivyokwambia utetee hoja zako ukasema

Ina maana uwezo wako wa kufikiri hautoshi?
Kama uwezo wako wa kufikiri hautoshi kuchanganua hoja nyepesi una uhakika gani wa kuweza kutatua changamoto ngumu za mazingira?

Kwa definition yako ya akili

Umeshindwa kudadavua hoja zangu sababu alafu ukasema

Ina maana wewe akili zako hazitoshi?
Ila nilifungua thread nilitegemea kuona mijadala ya watu wengi Ila ni kama vile wameshindwa
Ila tukubali kutokubaliana.
 
Back
Top Bottom