Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 3,824
- 5,812
So ulifungua thread ili uone mijadala ya watu wengi na sio upate jibu la swali ulilouliza?nilifungua thread nilitegemea kuona mijadala ya watu wengi Ila ni kama vile wameshindwa
So ulianzisha thread kutegemea kila mtu atakubaliana na wewe?Ila tukubali kutokubaliana