What is great thinking? Who are the great thinkers?

Ni matumizi mabaya ya uhuru wa kuwa na utambulisho bandia! Kwakuwa tu hawezi kujulikana kwa urahisi basi hapo ndio tabia zake za kishenzi huzionesha kwa uwazi kabisa....
Always nasisitiza KUBISHANA kwa hoja
Wengine kwakuwa tu alikuomba msaada fulani na ukashindwa kumsaidia huku akijua fika ulishamsaidia mwingine basi kile kinyongo atakujia kwa ID nyingine ajipoze kwa kukukashifu kila unakopita... Lakini watu wana akili na wanaona
Na huwa wanaumia zaid pale mtu anakusema maneno mabayaaa alaf unamfungiaa vioo anabaki kila akiingia Jf kiroho kinampwita pwitaaa kuangalia id ya fulan imefanya nn ?

Kuna watu wanapenda kujitafutia vidonda vya tumbo wenyewe kwa mambo yasiyokuwa na mantiki.
 
Ni matumizi mabaya ya uhuru wa kuwa na utambulisho bandia! Kwakuwa tu hawezi kujulikana kwa urahisi basi hapo ndio tabia zake za kishenzi huzionesha kwa uwazi kabisa....
Always nasisitiza KUBISHANA kwa hoja
Wengine kwakuwa tu alikuomba msaada fulani na ukashindwa kumsaidia huku akijua fika ulishamsaidia mwingine basi kile kinyongo atakujia kwa ID nyingine ajipoze kwa kukukashifu kila unakopita... Lakini watu wana akili na wanaona
they r stupid haswaa muda wa kuchukia watu wanaupata wapii jamani au kukukashifu mtu kisa hajakusaidia au Alishindwa
Kuna mwingine anakuwekea kisasi bila sababu za msingi jamanii
 
Ndugu umekurupuka. Kalale tena ukiamka. Uje utuambie. Utatoka lini huko kwenye kundi La „GREAT SINKERS „kuwa among the „GREAT THINKERS.its a life choice. But also a learning process. Acha Frustrations zako kwenye Medula oblangata kabla hujaja kuchangia mada. Inakufanya Uwe na Prejudice. Na hivyo kujikuta unaendelea kuwa among the „Great Sinkers“. Bwana Mshana amesema kwa udhati kabisa. Ni kuamua tu now where you want to belong.
umemjibu haswaa
 
Hahaa!mtu anaumia kwa mambo ya kipuuzi si uchawi wenyewe huo then wala humjui na hauna athari yoyote katika maisha yake!! Yaani jf kuna watu wana roho nyeusi ingekua uwezo wao au km IG tungejuta
Ndo ushangaeee kuna watu wanajiuliza inakuwaje mtu anashinda Jf muda wa kazi
Akija anakusema etii kwann upo jf muda huu?

Nashangaa je anajua wewe unaishi vipi au umeomba msaada kwake inakuwaje mtu anabwabwaja wengine mpaka pm wanakuja kukutukana eti kafanye kazi maisha magumu toka Jf sasa najiuliza huyu mtu anajua maisha yangu.
Kuna watu wangepewa uchawi akikk wengi tungeteseka hata uchawi kumbe huwa unapangiwa mtu wa kupewaaaa.
 
Ndugu umekurupuka. Kalale tena ukiamka. Uje utuambie. Utatoka lini huko kwenye kundi La „GREAT SINKERS „kuwa among the „GREAT THINKERS.its a life choice. But also a learning process. Acha Frustrations zako kwenye Medula oblangata kabla hujaja kuchangia mada. Inakufanya Uwe na Prejudice. Na hivyo kujikuta unaendelea kuwa among the „Great Sinkers“. Bwana Mshana amesema kwa udhati kabisa. Ni kuamua tu now where you want to belong.
Vinaitwa vibao vya kelebu
 
they r stupid haswaa muda wa kuchukia watu wanaupata wapii jamani au kukukashifu mtu kisa hajakusaidia au Alishindwa
Kuna mwingine anakuwekea kisasi bila sababu za msingi jamanii
Wengne wanawake wanachukia wanawake wenzaoo baada ya wao kuchakazwaa kingono na wanaume wakware wa jf na kutelekezwaa wanaanza kuchukia baada ya kukuona ukifurahia kuchit chat na aliyekuwa mpenzi wakeee utaandamwa kama ugomvi.
Hawa wanawake ni wachawi kabisaa na roho zaoo ni nyeusi.
Wanabak wanaumia kujiuliza why fulan kapendwa ana nn ?
Anaanza chuki .
 
Aisee! wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua!,sijui unafananaje huenda angekuwepo ben mtobwa ningemwambia anielezee uzuri wako kama alivyokuwa akiuelezea uzuri wa nuru,nuru wa joram kiango!.
lkn nafikiri wewe utakuwa wa kiwango cha aina yake kuzidi hata huyo nuru au monalisa wa leonard da vinci!!
nikama vile naliona tabasam lako zuri,lisilo na hila na kicheko chako kitamu chenye sauti nyororo ya kumtoa nyoka na mayai yake pangoni!.
sitaki kukufananisha na mabinti wa sasa wenye kuanika vyupi vyao mitandaoni kana kwamba gulio la saula saula!..
bali ewe nikupendae nakufananisha na ua maridadi lenye nakshi nzuri,rangi maridhawa yenye kila mvuto niupendao!,ni kama nautazama uzuri wako wenye kuhubiri ufundi stadi wa yule akuumbae.
Loh! sibora nikajitosee baharini kuliko kuukosa uzuri wako wa asili wenye kuipamba dunia!,usiniache niteswe na vigoli vya kileo vyenye uzuri wa kupandikiza!
nisijeitwa mchochezi bure ama mtia chumvi,shauri ya pima kojo
 
Dah! Well said bro! Well said comrade.. mi huwa nawaita haters hawa watu.. na wengi wao wametokea insta na fb huko wanachambaaana had kero..
Huku wagen hawajui kama jf kuna majukwaa tofauti..wameshindwa kujua jukwaa lao ni lipi!?? Mijitu hiyo huwa inapanda watu kichwani kila wakat na kujifanya inafanya kaz muda wote na wenzao hawana kaz za kufanya..

Cha ajabu sijawah kusikia wakitajwa kuwa employer of the month wala nn!?
Na unaweza kuta mm naingiza mara tatu yao hao waliobusy.

By the way wanapata wap hata huo muda wa kucomment kitu !??
Na wale wapondaj tu yeye haanzishi uzi kaz yake anazurula kutafuta wa kumponda na wanatukana haswa.. mmhh
 
Ndugu umekurupuka. Kalale tena ukiamka. Uje utuambie. Utatoka lini huko kwenye kundi La „GREAT SINKERS „kuwa among the „GREAT THINKERS.its a life choice. But also a learning process. Acha Frustrations zako kwenye Medula oblangata kabla hujaja kuchangia mada. Inakufanya Uwe na Prejudice. Na hivyo kujikuta unaendelea kuwa among the „Great Sinkers“. Bwana Mshana amesema kwa udhati kabisa. Ni kuamua tu now where you want to belong.
Kwahiyo wewe hicho ulichokiandika hapo juu mwenyewe ndio unajiona kinakufanya kua u are among the great thinker?!

Nilidhani ungejibu kwa hoja badala yake umejibu kwa ushabiki tu usio kua na maana yeyote,ungekua great thinker ungeweka maelezo yako ki great thinker na sio hizo kejeli za kitoto ambazo zinakuweka wazi kua aidha unajikomba kwa mleta mada au umeshikiwa akili na mleta mada,au unaendekeza yale mambo ya u-team,
Hiyo comment yangu nilimlenga mleta mada nae ameshindwa kutoa maelezo yeyote bali amebaki tu kulike msg yako coz anaona ni kama inamlinda na kumtetea!!

Who are u to judge the life I live?! before you start pointing fingers....make sure your hands are clean..!!
 
Aisee! wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua!,sijui unafananaje huenda angekuwepo ben mtobwa ningemwambia anielezee uzuri wako kama alivyokuwa akiuelezea uzuri wa nuru,nuru wa joram kiango!.
lkn nafikiri wewe utakuwa wa kiwango cha aina yake kuzidi hata huyo nuru au monalisa wa leonard da vinci!!
nikama vile naliona tabasam lako zuri,lisilo na hila na kicheko chako kitamu chenye sauti nyororo ya kumtoa nyoka na mayai yake pangoni!.
sitaki kukufananisha na mabinti wa sasa wenye kuanika vyupi vyao mitandaoni kana kwamba gulio la saula saula!..
bali ewe nikupendae nakufananisha na ua maridadi lenye nakshi nzuri,rangi maridhawa yenye kila mvuto niupendao!,ni kama nautazama uzuri wako wenye kuhubiri ufundi stadi wa yule akuumbae.
Loh! sibora nikajitosee baharini kuliko kuukosa uzuri wako wa asili wenye kuipamba dunia!,usiniache niteswe na vigoli vya kileo vyenye uzuri wa kupandikiza!
nisijeitwa mchochezi bure ama mtia chumvi,shauri ya pima kojo
Ooooh

Najua Jr hajaonaa hii kabisaaaa
 
Ooooh

Najua Jr hajaonaa hii kabisaaaa
yawawili nisitiri,watatu hana dili!
mwengine usimfikiri,mi ndo wako wakili
hebu tulia tunong'onezane kimahaba kwangu hakuna presha mahabuba,wala sita kutia janaba sitaki kuona wako msiba!

andungule usimsitue mzigo wake ajitue!
jaribu kuona mbali uone mstari,ni mnyoofu na hodari haipimwi kwa kamba wala shomari
 
Back
Top Bottom