Niko mnadani pwani nakuya nyama ya mee ile ya kubanikwaMshana Jr
Mbona JF ni jamii kama jamii ya mtaani kwako? Ina watu wa kila kaliba, wendawazimu, vichaa, wahuni, wastaarabu, waungwana, wazee wa busara, heshima, wenye adili na maadili. Yaani ni Mchafukoge, ukiwaendekeza, watapasua Meddula Oblangata pamoja na Primitive Cortex.
Kubwa: Kuwa na Moyo Mkuu na Kuwapuuza Tu. Yote ili maisha yaendelee maana bila hivyo dunia haitajizungusha wala kuzunguka.
Jioni Njema na endelea kuangalia mpira wa Lipuli V's Simba

Mmwaaaa.. . najua hawapendi ila hakuna namna

mungu akubarikiii baba watotoMke wakeee mshanaDah.......
Demiss f.y.i![]()
![]()
![]()
![]()
Ubarikiweee sana Mme wanguuuWwwaaaooooo
Hakuna niliposema nisifiwe... Tunapingana kwa hoja sio matusi wala kejeli... Nitasifiwa kwa kila hoja kwani mimi malaika!? Au mimi sikosei?Mkuu hongera, umepunguza sumu..
ila napata shida kuelewa how..wanaotofautiana na thread wawe..
~ni watu wasiojitambua
~ni watu wasiojua dhima ya jf
~waliopigika kimaisha full stressed
~ni wale wenye roho ya kwanini
~wale wenye mitazamo finyu ya majukwaa mengine..n.k
mmhh..Mkuu hata wewe mawazo kinzani yamekuchosha? unataka kusifiwa...na kunyenyekewa hata na hizi fake I'd...
naona DNA za Mzee Baba zina match na zako
Kunywa MAJI![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hakuna niliposema nisifiwe... Tunapingana kwa hoja sio matusi wala kejeli... Nitasifiwa kwa kila hoja kwani mimi malaika!? Au mimi sikosei? Ni wapi nimelazimisha unyenyekevu? Hiyo ni hiari ya mtu...Mkuu hongera, umepunguza sumu..