What is great thinking? Who are the great thinkers?

What is great thinking? Who are the great thinkers?

Asante kwa angalizo zuri.

Kwa vigezo hivi nadriki kusema kuwa kwa sasa hakuna great thinkers hapa JF. Timu hizi uchwara za mafisi vs manyumbu aka Ufipa vs Lumumba zimeharibu JF. Hata hoja yako iwe nzuri namna gani na isiyoegemea upande wo wote ni lazima utaishia kutukanwa tu. Hata wanaharakati wetu wanaopigania demokrasia nao ni wakali kweli kweli ukisaili baadhi ya hoja zao na hawataki kusikia hoja kinzani. Sasa mtu unabakia unajiuliza: iweje mwanaharakati anayepigania uhuru wa kutoa mawazo awe mkali namna hii kwa hoja chokonozi. Anajua anachopigania? Upande ule mwingine nao ukibanwa kwa hoja tena zenye data nao unaishia kuporomosha matusi tu. Mtu wala huwezi kujua kipi ni kipi. Mashambulizi ya ki ad hominem ndiyo yamegeuka silaha pendwa.

Kuna kipindi JF ilikuwa mtu ukiingia kwenye jukwaa la siasa na mengineyo inabidi uwe na kalamu na karatasi kabisa ili uandike points. Wakati ule akina Mzee Mwanakijiji wakiandika makala nzito nzito zenye kuonyesha njia. Ilikuwa ni mwendo wa hoja tu bandika bandua. Ni huzuni kwamba kipindi hicho kimepita...
 
Nikapatwa na kihoro ulipoandika unawadharau wenye id feki!!,kidogo nianzishe farangati la hoja zenye mlengo wa upinzani!.. lkn kumbe kwa weledi umeelezea kimantiki!
wenyewe wanasema kingenuka!
 
Tatizo lako kubwa unaonekana unataka ukiweka mada hapa basi kila mtu akubaliane nawe na asikupinge,ndio maana unajiaminisha kua mtu akikupinga au hata kutumia lugha ya kuudhi eti anakua amekuja na ID nyingine! sidhani kama una ushahidi na hilo bali umeamua tu kujiaminisha ili kujifariji,huwezi kukubalika na kila member na kwa kila mada tambua hilo kwanza,
Halafu inaonekana kuna sehemu umepewa ukweli na dawa imekuingia kisawa sawa ndio maana umeamua kuja na kuanzisha hii thd kama utetezi wako,kujisafisha na kutafuta huruma za watu "sympathy" huwezi kukubalika kwa kila thd na kila member tambua hilo!

Halafu mtu akipingana na wewe siku zote hua nakuona unakimbilia kuleta screen shot ya page ya huyo member anayepingana nawe na hua unamdhihaki kua eti ni member mgeni na kajiunga jf hivi karibuni tu! ni nani aliyekuaminisha kua akili ya mtu hua inapimwa kwa kuangaliwa ni lini kajiunga na jf? vipi kuhusu wale ambao sio member wa jf kabisa?
 
Nikapatwa na kihoro ulipoandika unawadharau wenye id feki!!,kidogo nianzishe farangati la hoja zenye mlengo wa upinzani!.. lkn kumbe kwa weledi umeelezea kimantiki!
wenyewe wanasema kingenuka!
😳 😳 😳 😳
 
Yaani kuna watu humu ni wajinga hawakubali challenge yaani ukimzidi kwa hoja ni matusi anahisi matusi ndo yatakuumiza ila hawajui kua ni ujinga tu wanaoufanya
Ni matumizi mabaya ya uhuru wa kuwa na utambulisho bandia! Kwakuwa tu hawezi kujulikana kwa urahisi basi hapo ndio tabia zake za kishenzi huzionesha kwa uwazi kabisa....
Always nasisitiza KUBISHANA kwa hoja
Wengine kwakuwa tu alikuomba msaada fulani na ukashindwa kumsaidia huku akijua fika ulishamsaidia mwingine basi kile kinyongo atakujia kwa ID nyingine ajipoze kwa kukukashifu kila unakopita... Lakini watu wana akili na wanaona
 
Kuna watu wanaumiaaa sana wee kuanzisha thread kila siku wanajiuliza unapata wapi uwezo huo

Kuna watu wanaumia kwann fulan anapendwa na wengi
Najiuliza kwann uumie alafu hiyo roho inatoka wapi etiii?
Hahaa!mtu anaumia kwa mambo ya kipuuzi si uchawi wenyewe huo then wala humjui na hauna athari yoyote katika maisha yake!! Yaani jf kuna watu wana roho nyeusi ingekua uwezo wao au km IG tungejuta
 
Tatizo lako kubwa unaonekana unataka ukiweka mada hapa basi kila mtu akubaliane nawe na asikupinge,ndio maana unajiaminisha kua mtu akikupinga au hata kutumia lugha ya kuudhi eti anakua amekuja na ID nyingine! sidhani kama una ushahidi na hilo bali umeamua tu kujiaminisha ili kujifariji,huwezi kukubalika na kila member na kwa kila mada tambua hilo kwanza,
Halafu inaonekana kuna sehemu umepewa ukweli na dawa imekuingia kisawa sawa ndio maana umeamua kuja na kuanzisha hii thd kama utetezi wako,kujisafisha na kutafuta huruma za watu "sympathy" huwezi kukubalika kwa kila thd na kila member tambua hilo!

Halafu mtu akipingana na wewe siku zote hua nakuona unakimbilia kuleta screen shot ya page ya huyo member anayepingana nawe na hua unamdhihaki kua eti ni member mgeni na kajiunga jf hivi karibuni tu! ni nani aliyekuaminisha kua akili ya mtu hua inapimwa kwa kuangaliwa ni lini kajiunga na jf? vipi kuhusu wale ambao sio member wa jf kabisa?

Ndugu umekurupuka. Kalale tena ukiamka. Uje utuambie. Utatoka lini huko kwenye kundi La „GREAT SINKERS „kuwa among the „GREAT THINKERS.its a life choice. But also a learning process. Acha Frustrations zako kwenye Medula oblangata kabla hujaja kuchangia mada. Inakufanya Uwe na Prejudice. Na hivyo kujikuta unaendelea kuwa among the „Great Sinkers“. Bwana Mshana amesema kwa udhati kabisa. Ni kuamua tu now where you want to belong.
 
Hahaa!mtu anaumia kwa mambo ya kipuuzi si uchawi wenyewe huo then wala humjui na hauna athari yoyote katika maisha yake!! Yaani jf kuna watu wana roho nyeusi ingekua uwezo wao au km IG tungejuta
😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom