Mkitofautiana kwa hoja ama kwa kejeli na matusi?Nadhani"great thinkers" kama ilivyo slogan ya jf ina apply kwa watu wachache sana, hususan sisi watanzania. Naamini great thinkers ni wachache mno.
Hata hivyo, kuwa na uwezo wa ku-deal na aina tofauti za watu bila kukwaruzana nao pia ni aina fulani ya kuwa great thinker, huwa nikiona mtu kanilia bati kwa vile tu tumetofautiana kwenye argument naona huyu bado hajatosha, ni mtu wa visasi na hana kifua cha kubeba mambo mazito.
Hiyo ni hadithi nyingine, sipendi matusi hivyo nitasitisha mjadala.Mkitofautiana kwa hoja ama kwa kejeli na matusi?
That's what I meant...! We all all mortals.. We are not 100 % perfect... Hatuna ukamilifu na tunakosea hapa na pale.... Na kwa hakika si kila mtu atakubaliana nawe kama nawe usivyoweza kukubaliana na wengine kwenye kila kituHiyo ni hadithi nyingine, sipendi matusi hivyo nitasitisha mjadala.
Great thinker think and talk about new ideas and origin of idea. Innovator uses established idea to improve device or life standard. Average thinker think and talk about past events. Lower thinker think and talk about other people. Mshana jipime mwenyewe upon wapi? Jamii forum wengi ni Average thinkers au Lowest thinkers tunajadili sana matukio yaliyopita au watu Fulani kafanya hiki nk. Mfano: Tunashinda kutwa tukizungumzia Ligi ya Uingereza hasa mechi zilizopita, ndio vipindi vilivyo vingi kwenye TV na redio. Tena tunazungumza kuhusu maisha ya mtu binafsi sana kwenye TV na redio. Sasa mitandao ya jamii mingi imejaa umbea na kusengenyana tu. No new ideas. Nilifikiri unaelezea Great thinking and Great thinkers badala yake unaishia kulalamika tu. Taifa la walalamikaji. Anza kwa kuelezea factors for great thinking.Tafsiri sahihi ni kufikiri zaidi ya kufikiri... Kufikiri kulikozidi mazoea....
Mtandao huu wa Jamiiforums unaongozwa na slogan ya where we dare to talk openly... Sehemu tunapoweza kuongea kwa uwazi.. Lakini hao wanoongea kwa uwazi ni akina nani!? Hawa wamepewa jina la ziada la great thinkers...
Great thinkers ni akina nani hao?
. ni watu wenye hekima
. ni watu wenye heshima
. ni watu wenye tafakuri
. ni watu wenye weledi
. ni watu wenye subra
. ni watu walioelimika na kustaarabika
Kuwa great thinker ni mchakato kama kusoma shule
Mazingira, sheria na hali halisi tuliyo nayo, ili kuweza kuongea kwa uhuru na kwa uwazi basi forum ikaruhusu kuwa na utambulisho bandia ili kulinda maisha ya mhusika... Kwahiyo ndani ya jamiiforums ni sahihi kuwa na utambulisho bandia... Utambulisho bandia unamsaidia muweka mada ama mtoa taarifa kulinda privacy yake.... Kutumia jina na picha halisi pia inaruhusiwa kama tu unajiamini na uko huru kusema chochote kwa uwazi kwa kutumia utambulisho wako halisi
Nawaheshimu sana wote wenye utambulisho bandia kwa sababu ya sheria kanuni na utaratibu wa jamiiforums.....
Nawadharau kwa kiwango kisicho na kipimo kwa kuwa na uhuru wa kuficha utambulisho wao halisi basi wanaweza kufanya upuuzi wowote watakao ... Ikiwemo kuwa na ID zaidi ya moja
Nawadharau kwa kiwango kisicho na kipimo wale wote ambao ukimshinda kwenye hoja fulani.. Kwakuwa tu hana uwezo wa kushindana nawe basi anakurudia kwa ID nyingine na kukukashifu kukutukana na hata kukutolea lugha za kipuuzi...
Hawa si great thinkers bali ni great sinkers.....!!!!
Uzoefu wangu kwenye hilo na baada ya kukutana na baadhi yao bila wao wenyewe kujua ulinifanya niwe na utaratibu mpya... KUTOJIBIZANA NAO
Hawa ni watu wasiojitambua
Hawa ni watu wasiojua dhima ya Jamiiforums
Hawa ni watu waliopigika kimaisha full stressed
Hawa ni wale wenye roho ya kwanini
Hawa ni wale wenye mitazamo finyu ya majukwaa mengine na kushindwa kutofautisha Jamiiforums nahiyo mitandao ya kuchamabana na kutambiana
Hawa ni wale wanaoshindwa kujua kuwa kila mtu ana interest na vipawa vyake
. kuna ambao ni mabingwa wa ku LiKe tu
. kuna wale ambao kipawa chao ni kuchangia mada tu
. na kuna wale ambao ni wapishi.. Hawa haipiti siku lazima waweke mada
Kila kitu kina mgawanyo wake.. Usi force usipoenea.....
Swala la mtu kuwepo JF muda wote wewe linakuumiza nini!? Kumbuka
Sio wote ni waajiriwa, kuna madalali kuna wasimamizi kuna wafanyabiashara, kuna watu wa mishe, kuna watu wa shift... Nknk
Usidhani kama wewe umeajiriwa kwa mhindi asiyependa utume hata msg basi kila mtu yuko hivyo
Kumbuka pia kuna tofauti ya muda na JF iko nje ya mipaka ya Tanzania.. Usiku wako ni mchana wa mwingine... Usishangae basi mtu akipost muda ambao kwako ni usiku....
Nimeongea kwa uwazi unaweza unachukia but remember am there to stay.... Kwakuwa nimetambua nini maana ya kuwa great thinker
Asante kwa mtazamo na tafsiri yako juu ya kile nilichoandika... Sifa ni kusifiwa sio kujisifia.... Umehitimisha kwa kusema nalalamika japo kuna mengi nimeandika umeyakwepa kwa sababu zako binafsi.. Sina tatizo na hilo as long as umetumia haki yako kunikosoa kwa hojaGreat thinker think and talk about new ideas and origin of idea. Innovator uses established idea to improve device or life standard. Average thinker think and talk about past events. Lower thinker think and talk about other people. Mshana jipime mwenyewe upon wapi? Jamii forum wengi ni Average thinkers au Lowest thinkers tunajadili sana matukio yaliyopita au watu Fulani kafanya hiki nk. Mfano: Tunashinda kutwa tukizungumzia Ligi ya Uingereza hasa mechi zilizopita, ndio vipindi vilivyo vingi kwenye TV na redio. Tena tunazungumza kuhusu maisha ya mtu binafsi sana kwenye TV na redio. Sasa mitandao ya jamii mingi imejaa umbea na kusengenyana tu. No new ideas. Nilifikiri unaelezea Great thinking and Great thinkers badala yake unaishia kulalamika tu. Taifa la walalamikaji. Anza kwa kuelezea factors for great thinking.
Safi sana mkuu NGANYIKAGreat thinker think and talk about new ideas and origin of idea. Innovator uses established idea to improve device or life standard. Average thinker think and talk about past events. Lower thinker think and talk about other people. Mshana jipime mwenyewe upon wapi? Jamii forum wengi ni Average thinkers au Lowest thinkers tunajadili sana matukio yaliyopita au watu Fulani kafanya hiki nk. Mfano: Tunashinda kutwa tukizungumzia Ligi ya Uingereza hasa mechi zilizopita, ndio vipindi vilivyo vingi kwenye TV na redio. Tena tunazungumza kuhusu maisha ya mtu binafsi sana kwenye TV na redio. Sasa mitandao ya jamii mingi imejaa umbea na kusengenyana tu. No new ideas. Nilifikiri unaelezea Great thinking and Great thinkers badala yake unaishia kulalamika tu. Taifa la walalamikaji. Anza kwa kuelezea factors for great thinking.
Yahh huo ni ukweli najitambua mkuuTayari wewe ni GT... Kwakuwa unajitambua... U GT huanza na kujitambua
. Wewe ni nani
. Uko wapi
. Unafanya nini, kwanini
Hahahahh..Watu husema ukitaka kujua hasira ya mlevi, mwaga pombe yake!
Wamekupasha kule kwa Masongange (RIP) nini Mkuu?