What has happened to Gadiel Michael

What has happened to Gadiel Michael

Mpira wa miaka 10 unachezwa wapi wewe? Kina Yondani, Nyoni, Agrey Moris, Bocco wamecheza miaka mingapi? kwani huko CRDB watu hawafukuzwi kazi?
Kidogo endelevu? Unafikiri soka ni sawa na kuwa bank teller wa CRDB? Soka ni ajira isiyozidi miaka 10. Sasa avunjike mguu kwenye njaa kali badala ya kujikusanyia mapene bila jasho jingi... sio ujinga huo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good analysis.
Kuna mtu aliitwa ALEX SONG, alikuwa MWAMBA wa Arsenal, akaenda BARCA kusugua Bench mpk alipofurushwa! Sijui yukwapi. Ni kawaida ktk Soka
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu... Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua

Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja... na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.

Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za kuambiwa hizi. Kwahiyo ni heri ucheze Namungo ufe njaa badala ukawe mchezaji wa Akiba TP Mazembe uwe tajiri...

Unadhani mchezaji wa kutumainiwa Namungo na mchezaji wa akiba Simba ni yupi ana nafasi ya kusajiliwa na Gor Mahia?
Je, ni wachezaji wangapi toka Tanzania wamesajiliwa Kenya, Uganda, Zambia, DRC, Msumbiji n.k. ambao hawakutoka Simba au Yanga? Au kwa akili yako ya kushikiwa unadhani vilabu vyote husajili kwa kuangalia mechi za Simba na Yanga tu? Unaelewa maana ya scouting? Habari za kuwa mchezaji wa akiba uwe tajiri ni mtazamo wa hovyo kabisa kuwahi kuisikia. Pesa hailengwi hivyo, jifunze njia zake

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Huyo Jamaa amechemka Sana Kwa hoja yake hiyo dhaifu
 
Dogo alienda Simba kwa mbwembwe zote, now pumzi zimekata. Benchi linamuhusu.

Dogo alikosa washauri. Unaweza vipi kutoka kwenye timu ambayo wewe NI mchezaji tegemezi na kwenda kuhangaika kugombania namba na mchezaji mwenye kiwango cha lami kama Tshabalala?

Wachezaji wa Tanzania bogus sana
Ukifuatilia nilichosema humu JF wakati huyu dogo anahamia Simba kutoka yanga nilisema kuwa huyu dogo hatacheza mpira huko Simba na akitaka kurudi yanga watamkataa...
 
Ukifuatilia nilichosema humu JF wakati huyu dogo anahamia Simba kutoka yanga nilisema kuwa huyu dogo hatacheza mpira huko Simba na akitaka kurudi yanga watamkataa...
Ulikuwa sahihi Sana . Dogo alichemka vibaya mno
 
U c what I c.
Ur the true son of Ur father.

It was not necessary for Gadiel to go to Simba.

Sasa wewe hutaki mtu apate changamoto akae tuu sehemu kisa yupo guaranteed namba.
 
Hivi Yanga hawawezi kumrudisha ? Au alitoka Kwa dharau?
Huyu dogo alitoka kwa dharau Sana ....alizima simu karibu wiki tatu...watu wa yanga wakamfuata mpaka misri alikokuwa na taifa stars lakini akagoma kusaini...siku za .mwisho akiwa yanga tayari alishaonana na watu wa mikia...yaani yeye na kakolanya wana dharau kubwa Sana...huyo kakolanya naye siku zake zinahesabika huko Simba..mchezaji yeyote hawezi kutoka yanga kwa nyodo na kwenda Simba skacheza mpira na akadumu..ndivyo historia ilivyo...
 
Baada ya kufurushwa alitaka kurudi Arsenal ila haikuwezekana, walimruhusu kufanya mazoezi ya pamoja na wachezaji ila siyo kumsajili, kuhama kwake kulimharibia future yote katika soka.
Good analysis.
Kuna mtu aliitwa ALEX SONG, alikuwa MWAMBA wa Arsenal, akaenda BARCA kusugua Bench mpk alipofurushwa! Sijui yukwapi. Ni kawaida ktk Soka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo alitoka kwa dharau Sana ....alizima simu karibu wiki tatu...watu wa yanga wakamfuata mpaka misri alikokuwa na taifa stars lakini akagoma kusaini...siku za .mwisho akiwa yanga tayari alishaonana na watu wa mikia...yaani yeye na kakolanya wana dharau kubwa Sana...huyo kakolanya naye siku zake zinahesabika huko Simba..mchezaji yeyote hawezi kutoka yanga kwa nyodo na kwenda Simba skacheza mpira na akadumu..ndivyo historia ilivyo...
Atakula jeuri yake..Mwisho WA siku utasikia yupo Kagera Sugar
 
Gadiel kashaharibu kiwango chake, Simba wachezaji wanalogana sana gadiel amelogwa na tshabalala, kakolanya analogwa na manula, gadiel ajiandae kupelekwa kwa mkopo namungo.
kakolanya angekuwa Tanzania one kama asingeihama YANGA, kipaji chake kimedumaa kwa kusotea benchi simba
 
Wacha asugue benchi na mwenzake Ajibu mtu ulijihakikishia namba kwenye klabu na timu ya taifa unafanya uamuzi wa kijinga hata timu ya taifa ndio kwaheri
 
Back
Top Bottom