Jjmwaipopo
Senior Member
- Jan 11, 2020
- 189
- 122
Yuko wapi Manara maana yeye alisema bila hamasa yake watu hawaendi uwanjani, Mbona jana uwanja ilijaa kupita kiasi Yeye anafikiri bila yeye watu hawaendi uwanjani hana kaumbuka mwenyewe
Yupo wapi huyu jamaa dah kitamboBaada ya kufurushwa alitaka kurudi Arsenal ila haikuwezekana, walimruhusu kufanya mazoezi ya pamoja na wachezaji ila siyo kumsajili, kuhama kwake kulimharibia future yote katika soka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko wapi Manara maana yeye alisema bila hamasa yake watu hawaendi uwanjani, Mbona jana uwanja ilijaa kupita kiasi Yeye anafikiri bila yeye watu hawaendi uwanjani hana kaumbuka mwenyewe
Aliyekudanganha napenda kuheshimiwa na wewe ni nani?Nilikuwa nakuheshim sana kumbe mtupu hivi kichwan?
Hivi unaanza kulinganisha mishahara kumbe hata hujui mwanzo alilipwaje na sasa analipwaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
mitanzania utaijua tu ni uvivu tu hawataki kushindana.sasa ulitaka aendelee kubweteka tu kucheza na Juma ABDUL.Uamuzi aliouchukua wa kutafuta changamoto mpya ilikuwa ni uamuzi sahihi kabisa na hajafanya kosa lolote.Anapata changamoto nyingine ili aweze kujituma zaidi na kupandisha kiwango chake na kipato chake pia. kimepanda.hivi hata kwa macho tu Gadiel Michael huoni alivyonawiri na furaha tele wakati angebaki huko angeendelea kukondeana na vinywele vile vile alivyokuwa navyo kama FIDODIDO He he he
Juzi Zimbwe jr alipiga back pass kwa kipa kumi mpaka mashabiki wa Mikia wakawa wanampigia kelele..Zimbwe jr anaweza kucheza zile mechi mlizonunua au mmeshapiga mapafyumu vyumbaniWorse enough Gadiel siyo type ya wachezaji wanaofaa kuchezea Simba.
Simba walitumia vibaya pesa na Gadiel alitumia vibaya ubongo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Na inawezekana uko Simba ahadi za Mali na Pesa alizoahidiwa hajatimiziwa!Nilikuwa nakuheshim sana kumbe mtupu hivi kichwan?
Hivi unaanza kulinganisha mishahara kumbe hata hujui mwanzo alilipwaje na sasa analipwaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kuzima simu na kugoma kusaini mkataba ni dharau? Kama ilikuwa ni lazima si mgesaini wenyewe sasa.Huyu dogo alitoka kwa dharau Sana ....alizima simu karibu wiki tatu...watu wa yanga wakamfuata mpaka misri alikokuwa na taifa stars lakini akagoma kusaini...siku za .mwisho akiwa yanga tayari alishaonana na watu wa mikia...yaani yeye na kakolanya wana dharau kubwa Sana...huyo kakolanya naye siku zake zinahesabika huko Simba..mchezaji yeyote hawezi kutoka yanga kwa nyodo na kwenda Simba skacheza mpira na akadumu..ndivyo historia ilivyo...
Mkuuu achana na huyo Mbwiga tu huenda hata mpira alisikiliza kwa redio. Manara wamuache kwanza na anastahili tuzo ha Heshima toka TFF siyo kejeli za huyu boya. Hao Maafisa Hamasa wao ni kuuza sura na kulamba midomo ndio walete ile Nyomi ya Kiingili 500M. Yanga wenyewe hata 150M hawakufikisha hizo 350+M ni nguvu ya Manara mama'e zakoNi makosa makubwa Sana kudharau umuhimu wa Manara ktk uhamasishaji, Kama ulikuwepo jana uwanjani au hata kuangalia mechi kwa TV, uliona kbs kuwa Simba ndy ilijaza uwanja kwa asilimia zaidi ya 70, Yanga washabiki hawakujitokeza kwa wingi nafikiri wengi wao hawakuiamini team yao, ni kitu kimoja kimenusuru ajira ya afisa uhamasishaji Yanga ( ushindi). Vinginevyo Nugaz alikuwa na maswali ya kujibu juu ya kufail kushawishi watu kuja uwanjani, ilikuwa ni aibu kwa ninyi wenyeji kushindwa hata kufika nusu ya uwanja.
Simba kujaa uwanjani siku ya mechi mhm ni kawaida yao kwa hv Sasa, sababu hamasa iliyopo ni kubwa Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin Ronaldo hakuzima simuKwa hiyo kuzima simu na kugoma kusaini mkataba ni dharau? Kama ilikuwa ni lazima si mgesaini wenyewe sasa.
Hivi hujui maana ya haki ya mtu katika kufanya maamuzi juu ya maisha yake.
Mpira wa bongo una mashabiki wa ajabu sana, juzi Ronaldo karudi Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya timu yake ya zamani ambayo aligoma kuongeza mkataba na wakampokea VIP kabisa. Na mashabiki walimshangilia. Bongo ukihama timu wanasema una jeuri. Mi nilitegemea useme aliwatukana, kashfa, lugha chafu, dharau kumbe unasema kuzima simu na kugoma kusaini.
Juzi Zimbwe jr alipiga back pass kwa kipa kumi mpaka mashabiki wa Mikia wakawa wanampigia kelele..Zimbwe jr anaweza kucheza zile mechi mlizonunua au mmeshapiga mapafyumu vyumbani
Ronaldo hawakumzonga kumlazimisha kubaki bali walimpa uhuru wa kuchagua. Hapa bongo timu ikikusajili inajifanya kama guardian angel wako.Lakin Ronaldo hakuzima simu
kilicho akilini kitumie
Interesting comment ...very interesting comment indeed..,bila Shaka wewe ni mikia oya oya..ni mshabiki wa kizazi kipya ..hujui historia ya soka...hujui ligi zinavyoendeshwa...unadhani Ronaldo alitoka kwa dharau??!! Umekariri neno kuhama tu na usijue maana yake na hata timing yake...Ronaldo kwa age yake alishatangaza mapema kuwa atahama na kutafuta changamoto nyingine...kurudi kwake hakuwezi kuamsha hasira za mashabiki pale real Madrid kwa wengi wao...yupo mchezaji kipenzi Cha Barcelona alikuwa anaitwa Luis Figo ...nadhani ulikuwa hujazaliwa wakati huo...basi huyo Figo alihama na kwenda real Madrid ambao ni maadui kimpira wa pale Spain,.siku ya siku ikafika real anacheza na Barcelona pale nou camp nadhani...kilitokea Nini kwa Figo...mashabiki walimtukana vilivyo na wengi wao walikwenda na vichwa vya nguruwe uwanjani...Luis anapiga Kona vichwa vya nguruwe vinarushwa kwake...Luis alihama Barcelona kwa nyodo...Sasa huyo gadiel wako alihama yanga kwa nyodo...mbaya zaidi ni miongoni mwa wale waliokuwa wakihujumu yanga wakati inacheza na Simba...kwa hiyo huyo gadiel wako hatacheza mpira pale Simba...akitaka kurudi yanga uwezekano ni kuwa yanga itakataa...niyonzima naye nusura atumbukie kwenye mtego huo lakini alijirudi na akaomba msamaha akiwa bado Simba ambako hakuwa na Raha .,alipoomba kurudi yanga akakubaliwa...walikuwepo wengi wa yanga walikwenda Simba na wakajirudi....omari Hussein, kizota, Mohammed Hussein, lunyamila na wengine...lakini virusi ndani ya yanga vilivyokWenda Simba ...aswile, marehemu jujuman na wengine walipotea haraka huko Simba..Kwa hiyo kuzima simu na kugoma kusaini mkataba ni dharau? Kama ilikuwa ni lazima si mgesaini wenyewe sasa.
Hivi hujui maana ya haki ya mtu katika kufanya maamuzi juu ya maisha yake.
Mpira wa bongo una mashabiki wa ajabu sana, juzi Ronaldo karudi Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya timu yake ya zamani ambayo aligoma kuongeza mkataba na wakampokea VIP kabisa. Na mashabiki walimshangilia. Bongo ukihama timu wanasema una jeuri. Mi nilitegemea useme aliwatukana, kashfa, lugha chafu, dharau kumbe unasema kuzima simu na kugoma kusaini.
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu... Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua
Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja... na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.
Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel...
Unasema sijui historia ya soka, ni kweli sijui historia hiyo. Sasa sijui kama soka linachezwa kwa historia au kujadili soka la sasa ni lazima sana ujue lililopita. Kwani kuna haja gani ya kuwa na wachezaji wapya, uongozi mpya, mashabiki wapya, mbinu mpya. Kutojua historia sioni tatizo liko wapi kwa case hii ya Gadiel.Interesting comment ...very interesting comment indeed..,bila Shaka wewe ni mikia oya oya..ni mshabiki wa kizazi kipya ..hujui historia ya soka...hujui ligi zinavyoendeshwa...unadhani Ronaldo alitoka kwa dharau??!! Umekariri neno kuhama tu na usijue maana yake na hata timing yake...Ronaldo kwa age yake alishatangaza mapema kuwa atahama na kutafuta changamoto nyingine...kurudi kwake hakuwezi kuamsha hasira za mashabiki pale real Madrid kwa wengi wao...yupo mchezaji kipenzi Cha Barcelona alikuwa anaitwa Luis Figo ...nadhani ulikuwa hujazaliwa wakati huo...basi huyo Figo alihama na kwenda real Madrid ambao ni maadui kimpira wa pale Spain,.siku ya siku ikafika real anacheza na Barcelona pale nou camp nadhani...kilitokea Nini kwa Figo...mashabiki walimtukana vilivyo na wengi wao walikwenda na vichwa vya nguruwe uwanjani...Luis anapiga Kona vichwa vya nguruwe vinarushwa kwake...Luis alihama Barcelona kwa nyodo...Sasa huyo gadiel wako alihama yanga kwa nyodo...mbaya zaidi ni miongoni mwa wale waliokuwa wakihujumu yanga wakati inacheza na Simba...kwa hiyo huyo gadiel wako hatacheza mpira pale Simba...akitaka kurudi yanga uwezekano ni kuwa yanga itakataa...niyonzima naye nusura atumbukie kwenye mtego huo lakini alijirudi na akaomba msamaha akiwa bado Simba ambako hakuwa na Raha .,alipoomba kurudi yanga akakubaliwa...walikuwepo wengi wa yanga walikwenda Simba na wakajirudi....omari Hussein, kizota, Mohammed Hussein, lunyamila na wengine...lakini virusi ndani ya yanga vilivyokWenda Simba ...aswile, marehemu jujuman na wengine walipotea haraka huko Simba..
Nakwambia huyo gadiel amekwenda kuua mpira huko Simba...mwakani atapelekwa kwa mkopo lipuli...
Siyo kila kitu kinaandikwa mitandaoni...wauulize wenzio kwa maana ya vijana wenzio gadiel alitamka maneno gani kuhusu yanga...pengine watakwambia...halafu kitu kimoja nakuomba usiwaone wachangiaji wenzio kuwa hawajui Mambo...Unasema sijui historia ya soka, ni kweli sijui historia hiyo. Sasa sijui kama soka linachezwa kwa historia au kujadili soka la sasa ni lazima sana ujue lililopita. Kwani kuna haja gani ya kuwa na wachezaji wapya, uongozi mpya, mashabiki wapya, mbinu mpya. Kutojua historia sioni tatizo liko wapi kwa case hii ya Gadiel.
Kwamba mimi shabiki wa Simba. Ni kwamba sina timu bali nashabikia soka safi lisilo na uswahili mwingi. Niko neutral na naweza mpinga au kumsupport yeyote.
Umesema Figo aliondoka kwa dharau, hiyo sikujua kama alileta dharau. Ninachojua walimchukia kwa performance yake aliyokuwa anaonyesha pindi timu hizo zikikutana. Ndo maana hadi leo hawawezi fanya transfer ya Barca to Madrid au kinyume chake.
Mkuu naomba unitajie hizo dharau alizoonesha Gadiel maana sijaziona kwenye andiko. Kuzima simu na kutosaini sio dharau.
Kwanini usinambie wewe uliyetaja hapa. Kwanini unilazimishe niwaulize vijana wenzangu wathibitishe kitu ambacho hawakusema.Siyo kila kitu kinaandikwa mitandaoni...wauulize wenzio kwa maana ya vijana wenzio gadiel alitamka maneno gani kuhusu yanga...pengine watakwambia...halafu kitu kimoja nakuomba usiwaone wachangiaji wenzio kuwa hawajui Mambo...