permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,485
- 15,298
Zlatan alinunua hisa nyingi huko Sweden katika timu iliyokuwa ni mpinzani wa jadi wa timu aliyokuwa anachezea, kutokana na kununua hisa katika timu pinzani, mashabiki walichoma na kukuta sanamu ya bronze aliyokuwa amejengewa kwa heshma, hapo napo utasema ni bongo au hoja itabadilika?Kwa hiyo kuzima simu na kugoma kusaini mkataba ni dharau? Kama ilikuwa ni lazima si mgesaini wenyewe sasa.
Hivi hujui maana ya haki ya mtu katika kufanya maamuzi juu ya maisha yake.
Mpira wa bongo una mashabiki wa ajabu sana, juzi Ronaldo karudi Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya timu yake ya zamani ambayo aligoma kuongeza mkataba na wakampokea VIP kabisa. Na mashabiki walimshangilia. Bongo ukihama timu wanasema una jeuri. Mi nilitegemea useme aliwatukana, kashfa, lugha chafu, dharau kumbe unasema kuzima simu na kugoma kusaini.
Sent using Jamii Forums mobile app