What has happened to Gadiel Michael

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,113
27,099
Dogo alienda Simba kwa mbwembwe zote, now pumzi zimekata. Benchi linamuhusu.

Dogo alikosa washauri. Unaweza vipi kutoka kwenye timu ambayo wewe NI mchezaji tegemezi na kwenda kuhangaika kugombania namba na mchezaji mwenye kiwango cha lami kama Tshabalala?

Wachezaji wa Tanzania bogus sana
 
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu. Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua

Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.

Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel.
 
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu. Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua
Yanga alikuwa analipwa sh ngapi na Simba wanamlipa sh ngapi?
 
Umefunga uzi mkuu
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu... Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua

Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja... na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.

Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gadiel kashaharibu kiwango chake, Simba wachezaji wanalogana sana gadiel amelogwa na tshabalala, kakolanya analogwa na manula, gadiel ajiandae kupelekwa kwa mkopo namungo.
U c what I c.
Ur the true son of Ur father.

It was not necessary for Gadiel to go to Simba.
 
Dogo alienda Simba kwa mbwembwe zote, now pumzi zimekata. Benchi linamuhusu.

Dogo alikosa washauri. Unaweza vipi kutoka kwenye timu ambayo wewe NI mchezaji tegemezi na kwenda kuhangaika kugombania namba na mchezaji mwenye kiwango cha lami kama Tshabalala?

Wachezaji wa Tanzania bogus sana
Mitanzania utaijua tu ni uvivu tu hawataki kushindana.sasa ulitaka aendelee kubweteka tu kucheza na Juma ABDUL.Uamuzi aliouchukua wa kutafuta changamoto mpya ilikuwa ni uamuzi sahihi kabisa na hajafanya kosa lolote.Anapata changamoto nyingine ili aweze kujituma zaidi na kupandisha kiwango chake na kipato chake pia. kimepanda.hivi hata kwa macho tu Gadiel Michael huoni alivyonawiri na furaha tele wakati angebaki huko angeendelea kukondeana na vinywele vile vile alivyokuwa navyo kama FIDODIDO He he he
 
Gadiel kashaharibu kiwango chake, Simba wachezaji wanalogana sana gadiel amelogwa na tshabalala, kakolanya analogwa na manula, gadiel ajiandae kupelekwa kwa mkopo namungo.
Vyura fc, katika akili zao wanawaza vitu viwili tu, ushirikina na kuhonga marefa.
Ndo mana hata timu yao inatoa sare na timu za kawaida tena sare NNE mfululizo afu wanakuja kuaminishwa eti ka sio makando kando tutamfunga simba.
Mna muda gani hadi sasa hamjaifunga simba?
Leo hii unasema Gadiel amelogwa, sio kwamba kipindi hicho alikua bora miongoni mwa wabovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gadiel micheal ni mzuri sana kwa kukaba ila kwa team kama simba ambayo 70% ina shambulia ina muhitaji zaidi zimbwe jr kwa ajili ya ku penety na kumwaga maji!!

Ila international gadiel atatufaa kwa sababu ana physical halafu kule unakutana na mamelodi mada wote wanakuja goli kwako uma hitaji beki mgumu aina ya gadiel

N:b simba ni club kubwa unahitaji kuwa na benchi imara tunaona man city pale anacheza bernado benchi yuko silver,madrid marcelo anakula mkeka fellan mendy ana anza lazima kwenyw benchi uwe na mchezaji mwenyw kariba sawa ya uwezo ama wanalingana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyura fc, katika akili zao wanawaza vitu viwili tu, ushirikina na kuhonga marefa.
Ndo mana hata timu yao inatoa sare na timu za kawaida tena sare NNE mfululizo afu wanakuja kuaminishwa eti ka sio makando kando tutamfunga simba.
Mna muda gani hadi sasa hamjaifunga simba?
Leo hii unasema Gadiel amelogwa, sio kwamba kipindi hicho alikua bora miongoni mwa wabovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Zimbwe kisha fanya yake. Mpira wa bongo unachezwa usiku WA manane.
 
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu... Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua

Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja... na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.

Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel...
Ndio akili za kibongo hizi. Wajuvi huangalia uwezekano wa kupata nafasi ya kucheza, sio pesa. Pesa hailengwi hivyo, kwani mafanikio huja kutokana na kupata nafasi kuonyesha kipaji. Samata amefuata pesa uingereza? Nafasi ya kuonekana zaidi kutokana na heshima ya ligi. Kwmani vilabu vya Somalia havishiriki Klabu Bingwa Afrika? Itakuwa ni ujuha kwa mchezaji wa klabu ya Somalia kukataa ofa ya kukipiga Mneya City kwa sababu tu timu yake pia inashiriki Klabu Bingwa Afrika. Think

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Tell him
 
Ni kweli bora upate kidogo endelevu kuliko kupata kingi cha mda mfupi, dogo angebaki Yanga sababu alikua ana uhakika wa number I think angepata offer nzuri nje sababu umri wake bado mdogo lkn kwa sasa naona kama kajipoteza mwenyewe kinacho fuatia hapo ni kotolewa mkopo na kupotea kusiko julikakana

mitanzania utaijua tu ni uvivu tu hawataki kushindana.sasa ulitaka aendelee kubweteka tu kucheza na Juma ABDUL.Uamuzi aliouchukua wa kutafuta changamoto mpya ilikuwa ni uamuzi sahihi kabisa na hajafanya kosa lolote.Anapata changamoto nyingine ili aweze kujituma zaidi na kupandisha kiwango chake na kipato chake pia. kimepanda.hivi hata kwa macho tu Gadiel Michael huoni alivyonawiri na furaha tele wakati angebaki huko angeendelea kukondeana na vinywele vile vile alivyokuwa navyo kama FIDODIDO He he he
Tuache unazi lakini kuhama ni haki kwake ila benchi amesugua hadi kaisha.Saiz katika mabeki wa pembeni bora ligi kuu hata 10 bora hatii maguu wakati akiwa Yanga alikiwa fireKam angetaka hela angemwomba wakala amtafutie timu uarabuni.Huko ndo kuna mipesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli bora upate kidogo endelevu kuliko kupata kingi cha mda mfupi, dogo angebaki Yanga sababu alikua ana uhakika wa number I think angepata offer nzuri nje sababu umri wake bado mdogo lkn kwa sasa naona kama kajipoteza mwenyewe kinacho fuatia hapo ni kotolewa mkopo na kupotea kusiko julikakana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Dogo alikosa washauri wazuri. Kwa uwezo alio nao hatakiwi kukaa benchi. Hapo Simba kapigwa misumari...
 
Tuache unazi lakini kuhama ni haki kwake ila benchi amesugua hadi kaisha.Saiz katika mabeki wa pembeni bora ligi kuu hata 10 bora hatii maguu wakati akiwa Yanga alikiwa fireKam angetaka hela angemwomba wakala amtafutie timu uarabuni.Huko ndo kuna mipesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Yanga hawawezi kumrudisha ? Au alitoka Kwa dharau?
 
Ndio akili za kibongo hizi. Wajuvi huangalia uwezekano wa kupata nafasi ya kucheza, sio pesa. Pesa hailengwi hivyo, kwani mafanikio huja kutokana na kupata nafasi kuonyesha kipaji. Samata amefuata pesa uingereza? Nafasi ya kuonekana zaidi kutokana na heshima ya ligi. Kwmani vilabu vya Somalia havishiriki Klabu Bingwa Afrika? Itakuwa ni ujuha kwa mchezaji wa klabu ya Somalia kukataa ofa ya kukipiga Mneya City kwa sababu tu timu yake pia inashiriki Klabu Bingwa Afrika. Think

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Akili za kuambiwa hizi. Kwahiyo ni heri ucheze Namungo ufe njaa badala ukawe mchezaji wa Akiba TP Mazembe uwe tajiri...

Unadhani mchezaji wa kutumainiwa Namungo na mchezaji wa akiba Simba ni yupi ana nafasi ya kusajiliwa na Gor Mahia?
 
Back
Top Bottom